Mkuu Nenda kwenye Maduka ya ujenzi waambie Wakupe Tanfix ni kama Cement yani badala ya kutumia mchanga na Cement Unatumia hiyo Inauzwa Elfu 27"000 Kilo 25 tena mimi Nimenunua tu jana fundi Atengeneze
Mkuu Nenda kwenye Maduka ya ujenzi waambie Wakupe Tanfix ni kama Cement yani badala ya kutumia mchanga na Cement Unatumia hiyo Inauzwa Elfu 27"000 Kilo 25 tena mimi Nimenunua tu jana fundi Atengeneze
1. Rangi ya kwanza haikutengeneza bond nzuri na rangi ya finish
2. Mafundi hawakuwa makini katika kupaka na kukagua ubora wa rangi
3. Ukuta haukuandaliwa vizuri kwa ajili ya kupiga rangi.
Jinsi ya kutatua
1. Kulingana na eneo lako tafuta fundi bora atakae kupa muongozo wa kupiga rangi ngap kabla ya finish
2. Chagua rangi bora rahisi kutumia na ambayo haija expire ..