Wakuu nina tatizo la kuwashwa sehemu zote za mwili,
Hii hutokea kama sijanywa pombe ila nikinywa pombe tatizo huisha, pia pombe ikiisha mwilini ama kichwani tatizo hujirudia. Na mimi ni mnywaji wa pombe hasa pombe kali na hunywa mara kwa mara? Uwiano kwa wiki ni 6:7, 5:7. Tofauti na hapo labda niwe dozi.
Msaada wenu tafadhali pia miguu huniuma hasa vidole gumba vya miguuni na wakati mwingine miguu hutoa maji/ unyevu nyevu kwenye unyayo.
Msaada tafadhali.