Jaman naombeni msaada jinsi ya kuiondoa mistari iliyojitokeza ktk screen ya pc baada ya kukandamizwa kwa bahati mbaya. Kama kuna mtaalam anaejua jinsi ya kutatua hili tatizo msaada pliz