Tatizo la mishipa ya taya kubana

Tatizo la mishipa ya taya kubana

Scorpa

Member
Joined
Jun 23, 2019
Posts
55
Reaction score
24
Nasumbuliwa na tatizo la mishipa ya taya kubana pembezoni mwa masikio, mpaka kichwani kwenye utosi na kwenye kichogo. Hali inasababisha wakati wa kupiga mihayo nipate maumivu kwenye taya na muda mwingine naweza kukosa balance.

Hali hii imeanza toka mwezi wa nne mwaka 2019. Msaada na maoni yenu ni muhimu.
 
Back
Top Bottom