Tatizo la meno

Usafi tu au nimeona vibaya?

Hakikisha unapiga mswaki kwa siku angalao mara mbili (asubuhi na jioni) hii itasaidia.
 
Nenda kliniki za meno zipo nyingi sana mkuu.
 
Pole sana.

Nenda hospitalini ukaonane na daktari wa kinywa na meno ili uhudumiwe.

Kila la kheri.
Hivi gharama za matibabu zipoje bila bima ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…