Tatizo la maji UDOM


Tatizo nini sasa why no water
 
mkuu umenena . Ongera

Mkuu hayo maji wanayoyaona leo kuna watu waliyapigania,wapo waliosimamishwa chuo kwa miaka kadhaa achilia mbali kupoteza viungo vya miili yao,leo ukipanga mikakati ya kuwakomboa kesho wanaoeleka kwa watawala,acha dhambi ya uwoga na kujipendekeza iwatafune wakiwa chuoni na kazini.
SILAHA YA MNYONGE NI UMOJA.
 

Huo ndio ukuda huo..... Acha uvivu tembea uone wanaume wanavyokesha usiku na mchana kuhakikisha udom mnapata maji ya uhakika ili muoge mara tatu tatu mkipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…