Tatizo la mahusiano

Wewe unawaza kutiana tu?
Kama namuita tufanye mengine ya maisha tuachane na hawa viumbe wazito???

Yeye anazungumzia mapenzi ww unataka mambo mengine wapi na wapi..sema unataka kuanza kumkoboa
 
Ww ulipaniki 2 labda alikua anataka apige kwa x wake ikabidi aseme hivo wakati unapendwa ww hauwajui wanaume nn mtu anakana hajaoa na ana familia we vip
 
mambo ya wasichana na wavulana kwa kweli siyawezi, nahitaji ya wanawake na wanaume ndio akili zetu zinaenda sawa.
 
unajilazimisha mahusiano mapya. Jipe muda wa kupona kwanza.
 
Pole sana dada

Kuwa mpole take as much time as u can to heal yourself
 

Maho gel tuamini kipi kati ya hiyo hapo juu na hii link hapa chini?

Http://www.jamiiforums.com/showpost.php?p=9669861


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
kiriku lisen ishu nikwmba that guy cjaka nay even a half year, then hakuna kilichotendk zaid ya kuwa frends tu, so tatizo lililojitokez ni kwamba a guy aliku ana cheat na kwa kipind hich nlihifadhi kila kitu kwake na alikuw anajua cwez kumuach so wat am afreidng nngeendelea ningeumia san mwish wa cku tendo lilikua halija take place
 
Pole sana dada soma neno la Mungu, omba MUNGU na jaribu kuwa bize na kazi zako hii hali itaondoka
 
ukijipa mda hiyo hali itaondoka automatic , zidisha mda kwa marafiki hasa wa kiume
 
Jtahdi kusahau yaliyopta, mpe nafasi mwngne kwan binadam ha2fanan tabia n ww n mschana una haki ya kupenda n kupendwa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…