akili yake bado ni PENTIUM 1he he heee pole saana
endelea kuchunwa tu
Heshima zenu wadau naombeni ushauri wenu kuna mpenzi wangu na mpenda sana lakini kila nikitaka kuonana naye anaanza maneno na mipango ambayo haina maana sana na mahusiano yangu na yeye papo hapo kuna vipancha vya kufa mtu kuombana hela bila mipangilio maalumu!!!!! Je nifanye nini wadau?????

Yamekukuta eeeh!!! Pole ndio dunia hiyo!!
ukiona hivo amewapanga a.k.a mafiga matatu kuna wa kumpa hela ambaye ndo wewe, kuna wakumpa mapenzi na kuna yule ampendaye hata kama ana kasoro gani!Heshima zenu wadau naombeni ushauri wenu kuna mpenzi wangu na mpenda sana lakini kila nikitaka kuonana naye anaanza maneno na mipango ambayo haina maana sana na mahusiano yangu na yeye papo hapo kuna vipancha vya kufa mtu kuombana hela bila mipangilio maalumu!!!!! Je nifanye nini wadau?????
Achunguzwe nin tena wkt ushaambiwa anapigwa mizinga daile kuonana hataki? wewe jamaa wewe ni unachunwa...tu..kwakweli mchunguze huyo dada vizuri anaweza akawa anakuda nganya,hana mapenzi na wewe:lalala:
Simple; Hakuna mapenzi hapo
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums