habarini wakuu na poleni na shughuli za kila siku za kupambana na maisha na hasa katika hili la covid19...…kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu nina mdogo wangu mwenye umri wa miaka 24 lakini kwasasa tatizo linalomsumbua ni macho yake kupata kadhia ya kulazimisha kujifunga mara kwa mara bila ridhaa yake .Karibuni wakuu kwa mawazo ama ushauri ili tuweze kumsaidia mdogo wangu huyu