Tatizo la Lipumba Cuf ni Lowassa

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Ule mkutano wa CUF ulijadili nini na walifikia makubaliano gani? Na kura uliyopigwa ilikuwa ya nini? Tuanzie hapo kwanza
Lipumba alialikwa? Si ilitakiwa ahudhurie na kuwasilisha hoja ya kujiuzulu Kikaoni?
 
Ule mkutano wa CUF ulijadili nini na walifikia makubaliano gani? Na kura uliyopigwa ilikuwa ya nini? Tuanzie hapo kwanza
Mkutano ulikuwa baadae lipumba alikuwa ameshatengua barua yake, kaitengua mwezi wa sita, mkutano umefanyika juzi juzi tu nafikiri mwezi wa saba au wa nane mwanzoni.
 
Lipumba alialikwa? Si ilitakiwa ahudhurie na kuwasilisha hoja ya kujiuzulu Kikaoni?
Barua ilikuwa rasmi na official, haihitaji presentation kwenye power point! Cha msingi ilipokelewa na nina uhakika ilisainiwa kuwa imepokelewa, imejadiliwa way overdue! Waliiweka tu kabatini mwenzao akawawahi.
 
Mkutano ulikuwa baadae lipumba alikuwa ameshatengua barua yake, kaitengua mwezi wa sita, mkutano umefanyika juzi juzi tu nafikiri mwezi wa saba au wa nane mwanzoni.
Tunachojadili hapa ni maamuzi gani yalifikiwa na mkutano mkuu? Mkutano mkuu ulijadili nini juu ya Lipumba na walifikia maamuzi gani? Mkutano mkuu una uwezo wa kumuondoa Lipumba hata kama asingekuwa hajajiuzulu. Suala hapa ni MAAMUZI ya mkutano mkuu ndio ya mwisho.....
 
Barua ilikuwa rasmi na official, haihitaji presentation kwenye power point! Cha msingi ilipokelewa na nina uhakika ilisainiwa kuwa imepokelewa, imejadiliwa way overdue! Waliiweka tu kabatini mwenzao akawawahi.
We jamaa unashangaza sana....Suala hapa sio maamuzi ya Lipumba juu ya barua zake...Suala ni maamuzi ya mkutano mkuu wa chama ni yapi? Mkutano mkuu ndio wenye maamuzi ya mwisho sio Lipumba wala maalim Seif.
 
Hahahaha. Mkutano uliitishwa lini. Lipumba aliandika barua ya kufuta barua yake ya awali lini. Hapo ndio technique knockout ilipotokea. Wewe tangu mwaka jana kaandika barua kwa nini wasingeitisha kikao? ???
Mkuu barua ya pili inazuia ya kwanza isijadiliwe??
 
Dah! Tuseme siasa ni mchezo eti?
 
Mkuu barua ya pili inazuia ya kwanza isijadiliwe??
Kimantiki inazuia ndiyo. Imebatilisha(imetengua) uamzi wa kwanza kabla haujajadiliwa.
Wangei-"time" kuijadili wakati alipowakabidhi! Sasa hawakujua kitakachotokea mbele ya safari.
Wao wakaiweka bank,utadhania fedha kwa ajili ya akiba!
Kaja kusema 'niliyoyaandika nimeyabatilisha'. Ndiyo wakaanza kukumbuka blanketi kumekucha na kuitisha vikao vya kujadili barua iliyotenguliwa!
Utahalalishaje barua iliyobatilishwa?
Mimi naona kama mchezo flani wa kisheria ama ni maigizo ya kisiasa. Kwanini "Kebineti" nzima, isielewe kanuni, taratibu na sheria zinazowaongoza?
 
Mhm! ingawa sijazisoma kanuni zao, bado naona kuna ukakasi flani na ukosefu wa afya ya chama kama kujiuzuru kwa lipumba kutaachwa kupitwe hivi hivi bila kujadiliwa! ni hatari kwa chama, tukio la kujiuzuru lilikuwa halisi na liliathiri chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…