Niliyokuwa in my late teens, kuna kipindi nilikuwa natoa maziwa. Hata sikwenda hospitali. yaliachaga yenyewe.
nilimuomba mkalimani wa madaktari wachina pale SINO aniulizie, akaniambia daktari alimwambia inawezekana nilikuwa nikifikiria sana kunyonyesha. au nilikuwa nachezea mno maziwa (yani nina boyfriend?). au nina hormonal imbalance.
na mimi nikatafuta information online. sababu inaweza kuwa pituitary gland yake imevimba.