chriss makoba
Member
- Oct 5, 2012
- 50
- 10
Naomba msaada madokta kuhusiana na tatizo Hili, Nina mpenz kaingia hedhi tareh 8 mwez wa 2, na nikakutana nae tareh 4 mwez wa 3, akawa kabadili mazingira mengine, lkn haingii kwenye siku zake na ukizingatia mzunguko wake Huwa haubadiliki, je kuna uwezekano wa kupata mimba, na ukizingatia nimekutan nae zimebak siku 4 kuingia kwenye hedhi,