keyboard baadhi ya batani muhimu hazifanyi kazi. Mf. key arrows zinafanya lakini ukitaka ku-enter ili kubadilisha setting, enter haifanyi kazi
Umejaribu kuifungua na kuifanyia usafi kwa blower?Ndio tatizo hilo ndugu
Umejaribu kusoma maelezo kwenye bios? Si0 lazima itumie arrows na Enter, mfano kwangu inatumia + na - kuchange boot order na F10 kama sijakosea kusave na exit. Soma maelekezo kwa chini.
Njia nyengine sio soulution ila inaweza kuwa alternative, toa cmos battery ili bios zi reset, inaweza pia kureset boot order.Kwangu ni Key arrows na enter=drop... Hata hizo + - nimejaribu hazifanyi kazi...
nahisi hiyo pc iko na password wewe unaingia km guest ndo maana hp ukuruhusu kuingia setting lkn huwezi fanya change yoyote ndo enter inagoma 7bu hiyo keyobaod ipo na enter mbili
cha kufanya km ni zile old version toa CMOS BATTERY chomoa power cable kaa km sekunde 30 au dkk 1 then rudisha CMOS BATTERY washa PC then itakuwa imeji defaurt setting password itatoka na vingne vitakuwa sawa
Sent using Jamii Forums mobile app