Pump ya mafuta hiyo.Habari ndugu wana jamii forum, gari yangu aina ya nissan duals nmebadili plug juz tu,ila naona utofauti baada ya kubadili kwan gari kuna saa kama inashtukashtuka hivi kitu ambacho mwanzo hakikuwepo naomba mwenye kujua original plug za nissan duals anisaidie maana hawa mafundi wetu wanatuingiza chaka sana unajikuta umeingia hasara na pia kuharibu vitu vingine bola sababu.
Sababu ya kubadili zilizokuwepo mwanzo ni kwamba nliona kama gari inachelewa kuwaka nikiwasha kitu ambacho kwa sasa hakipo ila sasa tatzo limeanza tena gari kushtuka shtuka
1. Coilskama ikiwa silensa kuna milio ya puh puh puh check na coils.
,mkuu kwanza pole,Habari ndugu wana jamii forum, gari yangu aina ya nissan duals nmebadili plug juz tu,ila naona utofauti baada ya kubadili kwan gari kuna saa kama inashtukashtuka hivi kitu ambacho mwanzo hakikuwepo naomba mwenye kujua original plug za nissan duals anisaidie maana hawa mafundi wetu wanatuingiza chaka sana unajikuta umeingia hasara na pia kuharibu vitu vingine bola sababu.
Sababu ya kubadili zilizokuwepo mwanzo ni kwamba nliona kama gari inachelewa kuwaka nikiwasha kitu ambacho kwa sasa hakipo ila sasa tatzo limeanza tena gari kushtuka shtuka
Ishu ni specs tu unaweza funga kampuni yoyote, nishafunga sana plug za kampuni za kichina kwenye hizo nissan as long as ni original hazina shida.Pole kwa mkasa...Kwanza plugs za Nissan mara nyingi ni NGK za Iridium...
Ziwe doble iridium yaani zina ncha mbili zinatazamana kwenye upande wa ground na centre kama inavyoonekana hapo kwenye picha..
Nissan hazitaki plug za TOYO....
NGK double iridium ni ghali, ukizipata hazipungui 40k kwa moja..
Nunua spark plugs genuine urudishie hapo.
Huo ugonjwa ni plugIna mapepo, ipeleke kwa Mwamposa😂😂.
Umejaribu kuangalia coil?
Huo ugonjwa wake mpaka uendeshe gari ndio unajitokeza shida ni plugskama ikiwa silensa kuna milio ya puh puh puh check na coils.
OkHuo ugonjwa ni plug
Naam umepatia kabisa. Hilo ni tatizo la coilskama ikiwa silensa kuna milio ya puh puh puh check na coils.
100%Pole kwa mkasa...Kwanza plugs za Nissan mara nyingi ni NGK za Iridium...
Ziwe doble iridium yaani zina ncha mbili zinatazamana kwenye upande wa ground na centre kama inavyoonekana hapo kwenye picha..
Nissan hazitaki plug za TOYO....
NGK double iridium ni ghali, ukizipata hazipungui 40k kwa moja..
Nunua spark plugs genuine urudishie
Tatizo ni plug nafix matatizo kama hayo kila sikuTupe mrejesho vp umefanikiwa kuipinya? Tatizo lilikua ni nini?
Mkuu mimi nimetoka kwa bwana jitulamiraba kaniwekea plug ambazo amrnipa matumizi ya 30000 zikizingua nirudishe ila bei imeshiba. Sasa mimi yangu kuna watu walikuwa wamekwishaniambia ninunue gearbox ilikuwa inastuka kwa mwendelezo hadi nizidi speed 60. Nishabadili plug mara 3 lakn wapi hadi nilikuwa nshaaamini ni gearboxHabari ndugu wana jamii forum, gari yangu aina ya nissan duals nmebadili plug juz tu,ila naona utofauti baada ya kubadili kwan gari kuna saa kama inashtukashtuka hivi kitu ambacho mwanzo hakikuwepo naomba mwenye kujua original plug za nissan duals anisaidie maana hawa mafundi wetu wanatuingiza chaka sana unajikuta umeingia hasara na pia kuharibu vitu vingine bola sababu.
Sababu ya kubadili zilizokuwepo mwanzo ni kwamba nliona kama gari inachelewa kuwaka nikiwasha kitu ambacho kwa sasa hakipo ila sasa tatzo limeanza tena gari kushtuka shtuka
Mafundi wetu changamoto sana mkuu, vp baada ya kubadili plug kwa jitu miraba minne sa hvi inadumbua bdo ? Na vp ulaji wa mafutaMkuu mimi nimetoka kwa bwana jitulamiraba kaniwekea plug ambazo amrnipa matumizi ya 30000 zikizingua nirudishe ila bei imeshiba. Sasa mimi yangu kuna watu walikuwa wamekwishaniambia ninunue gearbox ilikuwa inastuka kwa mwendelezo hadi nizidi speed 60. Nishabadili plug mara 3 lakn wapi hadi nilikuwa nshaaamini ni gearbox