Nakuonea huruma! Foleni inasababisha na mipangilio mibovu ya mtawanyiko wa ofisi na masoko. asubuhi magari yanajipnga kuelekea sehemu moja. na jioni kurudi
kwa shida.
Mi naamini kama wizara , mabenki yange tawanywa, kungekuwa na unafuu. Tatizo wizara zote ziko eneo moja, Soko la kariakoo kila mfanya biashara anahangaika kwenda k/koo, unadhani magari yanaki wapi? Tatizo sio public transport, bali ni location ya eneo moja na kila mtu anahangaika kwenda kupata huduma