Tatizo la Bluetooth kwenye PC

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,287
Reaction score
1,855
Ninatumia acer laptop window 8. 1 inaload muda mlefu wakati nataka kupair other Bluetooth devices si hivyo tu haizionyeshi hizo devices kwenye display msaada jamani
 
una driver zake? pc haijakuja na cd ya driver?

pia unaweza cheki website ya acer au tuma full name ya laptop yako utaangaliziwa upewe direct link
 
Nisaidiwe bluetooth drver za dell inspiron n 5030,mwaka.wa 4 sasa sijafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…