Wakuu niaje, nina simu yangu ya IPhone nikipiga ussd code mfano *102# inapiga moja kwa moja simu kama unampigia mtu badala ya kuleta menu,
Yaani hiyo *102# inakua ni kama vile nmepiga simu Wakati ni salio Naangalia au kuunga vifurushi hivyo huwa inanibidi kutumia simu nyingine kuiingui hiyo simu vifurushi