Changer11 Member Joined May 28, 2016 Posts 12 Reaction score 6 Oct 23, 2016 #1 Tangu awamu ya selection iliyopita profile imeandika Wait for evaluation. Na leo tena imefunguka lakini ipo blank sijui ndio nishakosa Chuo au vipi.Wadau nijuzeni
Tangu awamu ya selection iliyopita profile imeandika Wait for evaluation. Na leo tena imefunguka lakini ipo blank sijui ndio nishakosa Chuo au vipi.Wadau nijuzeni
FredaF Senior Member Joined Sep 11, 2016 Posts 161 Reaction score 67 Oct 23, 2016 #2 Nenda tcu watakusaidia au tuma mtu aliyepo karibu na tcu, kunbuka deadline ni muda mfupi ujao.
dully santo JF-Expert Member Joined Apr 12, 2014 Posts 260 Reaction score 334 Oct 23, 2016 #3 Hiyo profile haijaguswa kabisa cha kufanya nenda ofc za nacte.
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,939 Reaction score 8,883 Oct 23, 2016 #4 Hivi vitu mwavionaje wakati nacte.go.tz haipatikani?
U upriscus Member Joined Sep 17, 2015 Posts 13 Reaction score 1 Oct 23, 2016 #5 Dully tuma index no form iv nikuchekie
U upriscus Member Joined Sep 17, 2015 Posts 13 Reaction score 1 Oct 23, 2016 #6 Changer tuma index no.
mucram Member Joined Sep 23, 2014 Posts 71 Reaction score 5 Oct 23, 2016 #7 Mkuu nacte kwan third round wameishatoa? upriscus said: Changer tuma index no. Click to expand...
K KIKA New Member Joined Oct 11, 2010 Posts 2 Reaction score 0 Dec 1, 2016 #8 upriscus said: Dully tuma index no form iv nikuchekie Click to expand... HI to you. Nami naomba msaada ndugu.
upriscus said: Dully tuma index no form iv nikuchekie Click to expand... HI to you. Nami naomba msaada ndugu.