Tatizo Kwa ma-ex zangu

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,757
Reaction score
31,120
Sijui ni nini kinawakuta hawa ma-ex zangu baada ya kuachana nami wanakongoroka na kuwa hoiii kabisa.Yani full eroded/degraded, mpaka wanatia huruma.



'Kaka yake na Demiss hapa'
 
Ukishawapa virus uwaambie ili waanze dawa mapema usiwaache blinded
Sijaathirika mkuu,nipo ok kabisaaaa 100%.Nahisi wanakuja kosa real love waliyokuwa wanapata labda.Ila kiafya me mzima
 
SASA WEWE UNAJIJUA UMEATHIRIKA UNATEGEMEA UKIWAACHA WAPENDEZE WAKATI HUWAACHII arv
Sijaathirika mkuu,nipo ok kabisaaaa 100%.Nahisi wanakuja kosa real love waliyokuwa wanapata labda.Ila kiafya me mzima
 
Hapana mkuu,nashangaa tu hawa ndugu zangu ni nini kinawafanya wabadilike
kwahiyo unajipromote kuwa wewe ndiyo kidume unajua sana kutyomba???
 
Maisha ya ex's wako wewe yanakuhusu nini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…