Y-Senior Member Joined Feb 20, 2017 Posts 21 Reaction score 6 Jun 2, 2017 #1 Nina simu yangu aina ya techno lakn nikinunua earphone znakufa mapema hata kabla ya mwezi so naulza sababu itakuw smu au earphone na kam ni earphone ninunue za aina gan?
Nina simu yangu aina ya techno lakn nikinunua earphone znakufa mapema hata kabla ya mwezi so naulza sababu itakuw smu au earphone na kam ni earphone ninunue za aina gan?
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,008 Reaction score 9,408 Jun 2, 2017 #2 Nunua earphones za samsung zile nyeupe hutojutia.....
Wgr30 JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 1,770 Reaction score 2,387 Jun 2, 2017 #3 kuwa makini kiongozi kwenye uandishi wako!
Y-Senior Member Joined Feb 20, 2017 Posts 21 Reaction score 6 Jun 2, 2017 Thread starter #4 Wgr30 said: kuwa makini kiongozi kwenye uandishi wako! Click to expand... Sorry mkuu nilikoesea nilikuw namaanish znakufa
Wgr30 said: kuwa makini kiongozi kwenye uandishi wako! Click to expand... Sorry mkuu nilikoesea nilikuw namaanish znakufa
Karot JF-Expert Member Joined Mar 6, 2017 Posts 1,159 Reaction score 1,314 Jun 2, 2017 #5 Y-Senior said: Sorry mkuu nilikoesea nilikuw namaanish znakufa Click to expand... Mi kama sikosei amemaanisha usiandike kiwasap wasap au nimekosea???
Y-Senior said: Sorry mkuu nilikoesea nilikuw namaanish znakufa Click to expand... Mi kama sikosei amemaanisha usiandike kiwasap wasap au nimekosea???
Wgr30 JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 1,770 Reaction score 2,387 Jun 2, 2017 #6 Y-Senior said: Sorry mkuu nilikoesea nilikuw namaanish znakufa Click to expand... sijajua ni kwa nini unashindwa kumalizia maneno.
Y-Senior said: Sorry mkuu nilikoesea nilikuw namaanish znakufa Click to expand... sijajua ni kwa nini unashindwa kumalizia maneno.