kaliwonela
Member
- Mar 14, 2018
- 18
- 17
Biashara iliyokuwa inatumika ilifungwaSababu za kuuza?
3.5 tonnes ni ya mwaka 2015 ipo hapa Dartani ngapi ? na ya mwaka gani ? na ipo wapi
Ist ya chassis mil 11.5Ist uuzi??
Sijaelewa mkuu Saju BIst ya chassis mil 11.5
Gari aina ya TATA L09 linauzwa. Liko katika hali nzuri limetembea kms 10,600. Bei ni 38 million. Usajili ni T 253 DJQ
Mawasiliano. 0754 300 880View attachment 748816View attachment 748819View attachment 748820
Sijaelewa mkuu Saju B
[emoji1] [emoji1] [emoji1] inabidi nicheke tu, tata muraUkiipeleka Mkoani Mara ( Musoma ) hasa kwa Wazanaki yatagombaniwa mno Mkuu kwani hilo Jina la hilo Gari lina maana kubwa sana kwa Lugha yao. Nimeshakufungulia fursa tayari hiyo Mkuu hivyo usinisahau tu katika 10%.