ewe kongosho,ningesema kitu
ila acha ninyamaze
kulinda mahusiano ya jamii
ningesema kitu
ila acha ninyamaze
kulinda mahusiano ya jamii
Muraa wacha bana hawabendi karara kabisa ira kura wanakura bana
Kwa wanawake inawezekana kwani si wamekeketwa??
Sijajua hizi philosophy za mapenzi na maeneo au makabila zinatokea wapi. Love lies within somebody's
heart and not a tribe or a birthplace. When its not there ur tribe or birthplace cant bring it. All these
factors perform a shaping role. They cant be conclusive as u want us to believe! Maana haiwezekani
mtu na moyo wake mgumu afike Tarime halafu abadilishwa na mazingira aanze kuwa na moyo wa
kupenda!