Tapeli limekuja na mfumo huu ...kuweni makini

Durovic

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Posts
4,295
Reaction score
7,844
Habari ya leo ndg, samahani kuna Bwana Mmoja naomba nimpatie namba yako Yeye anatoka Katavi mkoa mpya yuko na wenzake anakuja kununua vtu vya ktamadun Sasa akawa ameniomba nmtafutie mtu mwaminfu wa kusmamia hiyo tenda nikaona n vyema nikupe Wewe kwa sababu nakuamin Mimi naumwa kfua na tonses zmenbana hata saut haitok zingatia niswala la rzk, kama utakuwa na utayar wa jambo hili nijulishe nmwambie akupgie akupe maelekezo zaid?

kuweni makini...nawasilisha
 
••• nimeokota hiki kichupa kuna gari ya mzungu imepita hapa na kudondosha nasoma naona maandishi haya hapa, ...

"Almasi hii ina thamani ya Tshs 65mil, inasafirishwa kupelekwa nchini Marekani ikiwa na namba ya usajiti wa wizara ya madini No. 00TD9873"
 
Mbinu ya zamani sana hii mkuu. Alijichanganya kwangu hatasahau nilichomfanyia.
 
Mbinu ya zamani hii
 
Nawapendaga sana wakinikuta nipo idle sina ishu za kufanya.huwa nacheza nao hadi mwisho wao huwa ni kiasi cha kuwapotezea muda wao tu,wanachukia balaa
Mmoja kanipigia simu na namba ya tigo anasema anapia simu kutoka voda. Nikamuuliza umepataje namba yangu akacheka sana.
 
Mpuuzi mwingine katuma text hii

'HABARI YAKO?MIMI MWENYE NYUMBA WAKO NAOMBA NITUMIE ELA YANGU YA KODI KWENYE HII NO YA 0713040214 ALAF MBONA UMEKAA KIMYA'.
 
schoolmate wa pili huyu anantumia naona maisha yatakua yamemkaba kwelikweli.
 
Nawapendaga sana wakinikuta nipo idle sina ishu za kufanya.huwa nacheza nao hadi mwisho wao huwa ni kiasi cha kuwapotezea muda wao tu,wanachukia balaa
Nishawahi kupigiwa simu maswala ya tigopesa eti una kiasi gani kuna mtu kakosea kutuma pesa katuma kwako, nikawa nawachora nna kiasi kikubwa tu kumbe a/c ina zero balance tangu last year , baadaye nikawachana ukweli duuh, nilikula mitusi mizito hiyooo duuh [emoji3] [emoji3].
 
Hujamalizia game mwisho inakuwa vp
 
nilitumiwaga hiyo,nikaongea nao kwenye simu kuanzia asubuhi,wanitafute mchana,wakaona nimeingia kingi,kumbe nawachora...lengo nimalize vocha take,baada ya hapo,niawachana....walinitukana kweliii
 
Hujamalizia game mwisho inakuwa vp
ukikubali anakutumia no ya huyo tapeli no 1 anajifanya yuko njiani kuja uliko,uyu nae atakuunganisha na tapeli no 2 muuza ivyo vitu vyakitamaduni,utaunganishwa na tapeli no 3 ambalo linadai linatoa ricit za moto,sasa uyo jamaa atakuambia kama una hela utoe hela ya risiti ili wakifika tuu ,uwe na mzigo na ujifanye ww ni mtu wa kati,iyo hela ya risit ni kama laki mbili hivi,wao wanajifanya wako njiani wako na hela zakigeni na hao marafiki zao ni wazungu wajermani
 
Hao jamaa walitaka kumpiga wife,kilichotokea wife kuna business partner wake Kariakoo aliibiwa simu wakamuandikia wife SMS kama hiyo,wife kidogo apagawe make alikuwa anapewa dili la 20 milioni.

Uzuri nilikuwepo nikamwambia huyo rafiki yako itakuwa ameibiwa simu,tonses hazimzuii MTU kufanya biashara achana nao.ilibidi amfuate ofisini jamaa kumbe kweli kaibiwa simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…