Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,110
- 14,054
i hope there won't be anyone to politicize this issue... manake kuna mi-opportunist humu! RIP mzee Makaidi.
Makaidi wa Ukawa au?
Poleni Sana Ukawa....
Kwahiyo Uchaguzi Na Huko Unahairishwa!!
Ubunge wa huko alikokuwa anagombea unasimama kampeni,RIP makaidi,tunachukua silaha zako tunaendeleza mapambano
Leo kidogo tunaeza elewana. Shukrani sana!!! Hili sio la ukawa tu, ni wa tz wote maana yeye mtz mwenzetu.
jaman hakuna hata mwenye picha atuweke pumzika kwa amani kamanda