uwe kibol au kiboi ndio hao hao tu ujumbe umeupata. Kabla hujakabiliana na chama jiangalie kwenye kioo mara 2; kama hukunielewa narudia tena sikushtuliwa na kelele za bwana nitashtuliwa na mtwana? Tena mtwana mwenyewe ni kibol cha kupigwa danadana. Niletee hao wanaokupa posho ndio saizi yangu. Hivi na wewe unajiona unachungulia mambo nje ya box? Box hilo la maiti au la nyanya mbovu? Njoo kwenye makini tukupe sera achana na ujinga wenzio wanajikopesha na kujipa hela kujenga mehakalu wewe umebaki kuwapigia debe. Huo ukombozi unaoupigania upo ccm; chadomo ni kundi tu la wajanja wachache wanaotumia malimbukeni kuneemesha matumbo yao.
Chama
gongo la mboto dsm
kibol
Mpira dk tisini unalamika hata kipindi cha 1 hakijamalizaka; CCM ni chama makini ambacho kipo kwa ajili ya mtanzania na sio kikundi cha walaji; wapo wachache wanaotuharibia sifa hawakifanyi CCM kuwa ni chama cha walafi kama ambavyo kilivyo Chadema; sera za CCM zipo nyingi ungependa tuanze na ipi? Imewachukua wamerakani miaka 450 kufikia hapa walipo leo sisi miaka 50 na mambo ndio haya unayoyaona nchi imetulia hakuna mwenye wasiwasi wa roho. Mkuu acha kuchungulia nje ya box la nyanya mbovu
Chama
Gongoa la mboto DSM
Hebu nipe majina ya hizo nchi ambazo zimetuacha mbali tuzijadilidakika 90 zitafika lini mkuu chama? sisi watu wa project tunafocus sana kwenye deadline ili tuweze kufanya evaluation yetu, sasa ukiniambia mpira ni dakika 90 siwezi kukuelewa cuz hizo ni lugha za kisiasa, hizo dk 90 zitafika lini? mpira ukianza saa 10 kamili jioni unalua wazi kuwa utaisha saa kumi na mbili kasoro robo na hiyo iko wazi, sasa ninyi mmeanza 1961 mtatufikisha kule tunakokutegemea lini mkuu? iko wapi hiyo mipango ya miaka 450 kama ya US ilituwe na uhakika wa maisha bora kwa vizazi vijavyo? unazungumzia vipi nchi kibao tulizopata nazo uhuru miaka 50 iliyopita lakini zimetuacha mbali ktk hatua za kimaendeleo zilizofikia hizo nchi?
KIHIYO Cheti Hana Jamani .Dr wa GYN atatibu vipi moyo au license ya biashara .muwe waangalifu
kibol
Mpira dk tisini unalamika hata kipindi cha 1 hakijamalizaka; CCM ni chama makini ambacho kipo kwa ajili ya mtanzania na sio kikundi cha walaji; wapo wachache wanaotuharibia sifa hawakifanyi CCM kuwa ni chama cha walafi kama ambavyo kilivyo Chadema; sera za CCM zipo nyingi ungependa tuanze na ipi? Imewachukua wamerakani miaka 450 kufikia hapa walipo leo sisi miaka 50 na mambo ndio haya unayoyaona nchi imetulia hakuna mwenye wasiwasi wa roho. Mkuu acha kuchungulia nje ya box la nyanya mbovu
Chama
Gongoa la mboto DSM
Hebu nipe majina ya hizo nchi ambazo zimetuacha mbali tuzijadili
Chama
Gongo la mboto DSM
Tunahitaji wanaothubutu Kama shujaaa huyu aliyezimwa, hatuhitaji wanaothubutu katika majukwaa na microphone bila kuona impact!
Hapo kwenye RED fonts. KUna mambao munaandika ili kutufahamisha kiwango chenu cha uelewa mdogo. Unasemaje mambo kama hayo ndani ya JF. Hayo yanastahili kuwa sehemu ya michapo darasa la kwanza, shule ya kata. Wachache!!!!
Halafu unaanza mambo ya dk 90, ziko wapi? mwaka wa ngapi huu tangu tuahidiwe meli ya kwenda Bukoba kubwa kuliko Victoria? Imepandwa sehemu kwamba dk. ya 90 italetwa ziwa Victoria? Angalia zile ahadi za ajabu ajabu nyingine.
Mod. Nimekuwa nikiomba mara nyingi tuwe na Forum ya Toto group maana huenda tutapunguza maoni kama haya.
Hata mimi umeniacha hoi swali dogo tu umeshindwa kunipa idadi ya hizo nchi nipe nchi za kiafrika unazoona zimeendelea sana kutuzidi ili tuyaapime hayo maendeleo; mkuu kiiengereza ni lugha tu; na kwa kumalizia labda kwa Kenya zaidi ya Nairobi (kama umefika) kuna sehemu zaidi unayoijua? Na hata hiyo Nairobi sijui kama utakuwa unaijua; Nairobi kuna moja ya kubwa zaidi duniani unayajua hayo? Nataka nikupe upembuzi yakinifu ili akili yako ifunguke kidogo.mkuu chama ingawa umeacha hoja nyingi tu za msingi ktk bandiko langu hilo na kujikita ktk point 1 tu ya mimi kutoa mifano ya hizo nchi ambazo zimetupiga bao ingawa hatukuwa tumepishana sana miaka 50 iliyopita....nchi hizo ni singapore,rwanda,botswana,malysia,ata jirani zetu wanaotucheka kila siku kuwa hatujui kingereza,i mean kenya nk
Chama inaonyesha uko Ktk payroll yao