Kufuatia taarifa ya Kifo chake Rais Samia Suluhu Hassan ameandika “Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Paul Rupia. Tumeondokewa na mtu aliyetoa mchango mkubwa katika masuala ya kidiplomasia, mageuzi ya kiuchumi na utumishi wa umma, na aliyeweka mbele maslahi ya Taifa. Mungu amweke mahali pema. Amina.”
John Lupia yule aliyesimamisha msafara wa Rais Nyerere mwaka 1962 ni baba mzazi wa Poul LuPIA HUYU aliyewahi kuwa katibu mkuu kiongozi Awamu ya pili chini ya rais Mwinyi