Tanzania's Unusual Immigration Case

Things don't add up with the stories here,how can a guy claiming to own tens of cows go a few kilometers away in search of milk??
Whats the use of the cows he keeps?
 
Kwani ulikuwa hujui kuwa wema una mwisho? Rudi kwenu Rwanda ukajenge nchi yako acha kutafuta huruma ya watanzania.

Huo wema Ulitangazwa lini? Mtandao mzima wa ulinzi na usalama katika nchi hii ni mbovu tena ni mbovu kuliko hata congo.ni mtandao unaonuka rushwa,uzembe,ujinga,uhovyo na ushenzi mtupu,nchi hii sasa unaziweka nchi zote majirani na tishio la madawa ya kulevya,alafu unaambia watu waende kujenga nchi zao,hapa kimejengeka nini? Nini kimejengeka hapa?

Sasa tunajivua nguo,ni nchi ya watu waoga,wabinafsi,na wasiojua thamani wala misingi ya utu.
 
Mkuu unaongea toka mpakani au vipi, endelea ma safari na ukipapenda Tz njoo uombe uraia, bado ruksa.
 
Huwa nashindwa kuelewa, kwa nini hawa jamaa hawataki kurudi kwao???

Wengi ni wanajeshi waliokuwa wanapambana na kagame. So wakirudishwa watakamatwa kilahisi. Hapa kagame anashukuru Mungu atapata wabaya wake walio jificha.. Mia
 
Things don't add up with the stories here,how can a guy claiming to own tens of cows go a few kilometers away in search of milk??
Whats the use of the cows he keeps?

Mkuu kila mtu anajua kuwa stori hizi toka Kigali zinatungwa na idara ya genociders kutafuta public sympathy na kuwabrainwash wanyarwanda wasiiamke.
 
Hii ihamie na pale lumumba mtaa wa radio uhuru kuja k.koo kuna jamhuri ya watu wa somalia wamefanya kama mogadishu pale,kuna siku nilipita pale nilihisi niko somali land.
 
Mbombo ngafu! Umemaliza na umeua kabisaa, sina ch kuongeza.
 

Swafi kabisa nkamu!
Wengi wetu ni kama tulipigwa teke la tumboni Rwanda ilipoingia EAC.
Wanyarwanda popote walipo ni matatizo matupu!
 
Frankly speaking, hii operation imejaa uonevu na rushwa ya kila aina na imegeuka kuwa deal kwa 'wajanja wachache' !
 
its no ways Rwandese just go back to where you belong after all you claims Rwanda is better than Tanzania so why should you act like ticks here and try sympathize?!!!! just go home you hypocrites
 
its no ways Rwandese just go back to where you belong after all you claims Rwanda is better than Tanzania so why should you act like ticks here and try to sympathize?!!!! just go home you hypocrites
 

Yaani hapa ndio mnaponichosha enyi wahamiaji kharam. Sawa nchi yetu mbaya inanuka, chafu, madawa ya kulevya, rushwa na mambo yote ya ajabu. Sasa si muondoke mrundi kwenu kuzuri?? Toookaaa bwanaaaaaa hatukutakiiii....
 
I now hate Rwandese, they have lived in our country freely, used our country as their safe base for their country, used our country as the grazing ground for their heads of cattle and for all this they are now writing stories to show the world that Tanzanians are criminals who beat and take others property by force! How about those Rwandese who patrol and torture Tanzanians traveling between Kigoma/Kagera and the rest of the country!
Na mtakoma
 

Hivi ndugu timbilimu, unaweza ukanipa jibu la swali hili "Is the glass half-full or half-empty".Ukinipa jibu ntarudi sasa kukufahamisha vizuri sana maana wewe unaonekana hujitambui
 
Da watu weusi tunashida! ndo manaa dada zetu wanajichubua!
operation inahusu uhamiaji haramu ila comments za kibaguziiii!!!
 

Sasa kama nchi hii ina sifa mbaya kama ulizotaja, mimi si ndio maana nawashauri wageni wote warudi kwao wakajenge nchi zao zilizo nzuri? Hata wewe kama ni mgeni kutoka nchi jirani nakushauri urudi kwenu uachane na nchi yetu mbaya. Hayo uliyosema yana ukweli lakini haimaanishi nchi iwe shamba la bibi.
 

Imekuwaje mpaka kufikia kuiita hii nchi ni shamba la bibi? kufuata mkumbo bila kupima uhalari na mantiki ya maamuzi ya viongozi ndio kinachopelekea watu kama nyie kukubaliana na kila kitu. Ukae ukijua hapa unaharalisha maamuzi kandimizi dhidi ya raia pia kwa sababu viongozi wanakawaida ya kunogewa.

Miaka michache iliyopita, Serikali hii hii chini ya uongozi wa Bwana Mkapa ilitaka kumfukuza Generali Ulimwengu sababu haiukufurahishwa na misimamo yake dhidi serikali, Mahakama ikaivua nguo.

Hata leo, Maamuzi haya hayana mantiki na sio harali, wote tunajua maamuzi haya ni reaction dhidi ya matamshi ya Kagame, serikali ama Jakaya i/anatikiwa kujibu matamshi hayo sio kukimbilia kufukuza watu.
 

Kwa hiyo unataka kuniambia kuhamia nchi za watu bila kufuata taratibu ni halali? Nenda basi uhamie hizo nchi ulizoziita nzuri bila kufuaa taratibu. Kwa nini basi uko Tz kama nchi ni mbaya. Naunga mkono wahamiaji haramu kurudishwa kwao. Madhara ya hao jamaa ni makubwa kwani hata kule DRC kulikuwa si kwao lakini kidogokidogo wakakaa wakaanza kujiita ni wakongo. Lakini nimekupa ushauri mzuri tu kama na wewe ni mgeni haramu, rudi kwenu kuzuri. Tuanchie nchi yetu mbaya. Nchi za EAC (including burundi, ruanda na kenya si majirani wazuri hata kidogo. Mbona hujasikia tukiwalalamikia nchi za kusini kama msumbiji, malawi na zambia? Issue si Kagame. Watanzania wenyewe walioishi na hao jamaa wanawalalamikia kuwa si majirani wazuri na lazima raisi awasikilize. Rafiki zangu wa bukoba wote wanawalalamikia wanyarwanda. Alaaa! yaani wewe nikukaribishe halafu utake kuninyanyasa na nyumbani kwangu? Hilo halikubaliki hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…