TANZANIA’s President John Magufuli, once hailed by western media as a “bulldozer of graft” has officially lost the battle against corruption!

Sijui na sitaki kuamini hivyo maana hiyo hela si kiasi cha mboga. Ila muda utaongea.
Naamini mambo yako tofauti
Mkuu hata mimi naamini mambo yako sawa, lakini uendeshaji wa serikali unanutaratibu wake, Imani hakuna kule.
Kujihakikishia kuwa matumizi yako kisheria kuna utaratibu wa kisheria , na ni ku audit matumizi yote bila kukosa.
 
Using funds without parliament approval is different from stealing as it happened with Escrow or other scandals. We need more information before taking such a position.
Parliamentary approval. Kilangila.
 
Huu ni ujinga tu. Bado naona kuna watu wanatamani saaana kusikia UFISADI kwa Magu.
Wameukosa sasa wanahaha kutafutiza kwenye report ya CAG.
Enzi za waibua Ufisadi makini hawakuwa wakitoa statements vague kama hizi. Walikuwa wanakuja na full evidence, Majina ya wahusika, Bank zilizohusika na transactions, hadi tarehe,saa, na dakika transactions zilipofanyika.
Siku hizi waibua UFISADI wanakuja na eti "mabilioni ya kivuko" hakuna details zozote!
 

Issue ya mjadala inayoonekana dhahiri hapa kulingana na hoja za CAG ni kutofuata taratibu za manunuzi.
Hapa tunaweza kujadiliana vizuri saaana! Kwa sababu hata hizo taratibu za manunuzi pia zingine ni tatizo ambalo limekuwa likiigharimu serikali pesa nyingi sana bila sababu za msingi. Mifano ipo mingi sana. Ndio maana sekta binafsi zinafanya vizuri kwa sababu wao hawazifuati hizo taratibu zilizojaa kona nyingi na ulaji mwingiii.
 
Muulize mtoto wa Dada baada ya kutoa pesa Hazina zilikunja kona wapi.
Alitoa hazina account ipi, lini na zikaenda account ya nani. Hivi ndivyo tulivyozoea kujulishwa na waibua UFISADI makini.
Sio hawa wanaoandika matamanio yao bila kufanya hata utafiti kidogo tu.
 
wezi wa mabilioni wa kufikirika? mbona hawatajwi wameiba sh ngapi, lini? kupitia account ipi na kwenda account ipi?
weka details hapa tumpasie MAGU
 

Basi mimi nawasahuri hawa ndugu zetu watuletee mtu agombee Urais mwakani, inaonekana wanatuthamini na kutupenda sana!
 
Mkuu hata mimi naamini mambo yako sawa, lakini uendeshaji wa serikali unanutaratibu wake, Imani hakuna kule.
Kujihakikishia kuwa matumizi yako kisheria kuna utaratibu wa kisheria , na ni ku audit matumizi yote bila kukosa.

Nakubaliana kabisa nawe. Kuna sheria na taratibu. Na zipo kwa sababu maalumu. Lets call spade a spade....kuvunja sheria ni kuvunja sheria na lazima kiwajibika. Kuiba ni kuiba na hilo ni tatizo lingine tena kubwa sana. Linajirudia rudia. CAG kwa nia njema anataka uwajibikaji. Kazi ya wawakilishi wa wananchi sio kutulisha matango pori. Ni kuyafanyia kazi kwa undani yaliyoletwa mbele yao na kuweka kila kila wazi kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Nchi haitaweza kufika kama kila wakati tunaendeshwa na mihemko.
Mfano mdogo tu...Marekani, Trump kwenye ripoti ya Muller walisema juu juu alijaribu kuzuia wao wasifanye kazi. Senate wakaenda mbali zaidi...tupeni ripoti nzima isiyohaririwa. Tuisome halafu tutaamua kama impeachment ina nafasi au tuachane nayo.
That is what I believe MPs should do...twitting wont make them new heroes...we want concrete work...well done works. Sio mihemko ambayo ndani yake inabeba siasa zaidi ya uhalisia
 
wezi wa mabilioni wa kufikirika? mbona hawatajwi wameiba sh ngapi, lini? kupitia account ipi na kwenda account ipi?
weka details hapa tumpasie MAGU
Kama ilivyokuwa kwa escrow,epa,na kadhalika.
Hawa wamebaki kufanya uchonganishi kuliko siasa safi.
Shame on all of them.
 
Hapa nakubaliana nawe kwa 101%.
Bunge linabidi likae mguu sawa na kuhakikisha katiba hudusan matumizi ya serikali, yako kisheria

Kutofuata katiba is an impeachable offence, sawasawa na uhujumu uchumi, kama si zaidi ya hapo.
 
Hapa nakubaliana nawe kwa 101%.
Bunge linabidi likae mguu sawa na kuhakikisha katiba hudusan matumizi ya serikali, yako kisheria

Kutofuata katiba is an impeachable offence, sawasawa na uhujumu uchumi, kama si zaidi ya hapo.

Badala ya hawa wanaosema kuna ufisadi kuuonyesha uko wapi, wanachukua an abstract from the report, with no or little information to support what they claim has happened. Natural justice requires more than mere words. Ndio maana hapo nyuma, kwenye hizi hizi siasa zetu, kuna potential candidate wa uraisi tuliaminishwa ni fisadi mkubwa. Hakuna aliyeleta ushahidi wowote mpaka Leo zaidi ya maneno maneno.
Tuvuke kwenye hii level ya stories. Twende kwenye level nyingine ya kufanya kazi kweli kweli kwenye yale tunayoyaamini. Nchi hii tumejaa story tellers tu
 
Kwani report kakabidhiwa nani? Au una maanisha nini kuwekwa wazi na nani unamtaka akuwekee wazi? Kama huu upigaji haukusu basi wewe endelea kusifu na kuabudu
 
CAG nae kaishia kuwa ansbet ngurumo.
Kachukua taarifa zingine toka taarifa za utouh na ku zi update halafu analeta mikanganganyiko tu,huyu mzee alistahili kwenda kuwa sheikh huko bakwata tu.
Mkuu kashifa za ufisadi na kukurupuka wa bosi wako dates back to when he was a minister in different ministries 1. Kivuko kibovu : ujenzi na uchukuzi 2. Malipo kwa makandarasi hewa : wizara ya ujenzi 3. Ufisadi wa kujigawia nyumba za serikali : wizara ya ujenzi 4. Meli ya wachina : wizara ya kilimo na uvuvi . historia yake mbovu inajionesha tangu akiwa waziri . hivyo haya yanayoendelea hayashangazi .
 
Kwa jinsi mambo yalivyo, kuiba ni kuweka kwenye personal issues zangu....kununua treni ya umma bila idhini sio kuiba... ni kuvunja sheria ya manunuzi
Jnaongelea sheria au Accounting hapa hamna bla bla ni pesa . CAG ni accountant kwanza 😂
 
Jnaongelea sheria au Accounting hapa hamna bla bla ni pesa . CAG ni accountant kwanza 😂

Tatizo letu watanzania tunajiona tumesoma sana na tunajua sana. Ila wezi na wanaokula Tanzania ndio hao hao wanaojidai ni wasomi. Haijalishi umesomea au una professional gani, hebu tuonyeshe kwanza nini kiko tofauti from you. Wasomi wamekuwa matapeli wakubwa dhidi ya wanyonge
 
Na anaogopa nini kushirikisha Bunge, ili hali Bunge wapo akina Musukuma na Mlinga..watsema tu 'ndiooo' na hata kama hawajasikika Mh Kipaza atasema 'waliosema ndio wameshinda'
 
wezi wa mabilioni wa kufikirika? mbona hawatajwi wameiba sh ngapi, lini? kupitia account ipi na kwenda account ipi?
weka details hapa tumpasie MAGU
Hadi Leo kimya ingekuwa si kweli pangechimbika
 
Alitoa hazina account ipi, lini na zikaenda account ya nani. Hivi ndivyo tulivyozoea kujulishwa na waibua UFISADI makini.
Sio hawa wanaoandika matamanio yao bila kufanya hata utafiti kidogo tu.

Report ya manunuzi ya ndege iko wapi kama ni watu clean,hofu ya nn kuwanyima IMF report?
 


Hapo shida IPO kwa waliopoteza mda wao kuchagua. Tuzo za ufisadi za muhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…