Ni sawa na nyie kuzindua sijui mitungi midogo ya gas na kuanza kutunisha vifua mbele.
Vitu vingine vidogo sana, haina haja ya kwenda kwenye media.
Ni sawa na wewe kuletewa zawadi ya shati na kuanza kutangaza mtaani kuwa umepokea zawadi.
Tuna vya muhimu vya kutangaza, utalii ukiwa mmoja wapo.
We lawmaina ni nani aliyewaweka ninyi wakenya kuwa wapambe wetu Wa kutangaza mambo yet Kama si kimbelembele.Jameni mnafaa mshtuke na kufahamu ulimwengu wa kisasa jinsi ulivyo, zindukeni. Hii giant yenu italala hadi lini, kila siku ni vitisho tu, eti "giant will wake up one day". Hata huo utalii hamna uwezo wa kuutangaza, Tanzania ilitangazwa kuwa nchi yenye vivutio vizuri Afrika yote, lakini bado takwimu ni zile, yaani tofauti ni kidogo tu, hata Zimbabwe inawashinda kwenye jumla ya watalii.
Tatizo lenu kubwa ni kutumia Kenya kama kigezo cha maendeleo yenu, ilhali mnafaa muwe kwenye ligi pamoja na Nigeria. Madini na raslimali zote mnazo lakini bado mpo pale pale. Sisi hapa bado tuna matatizo ya Alshabaab, lakini hapo mbeleni hamkutukaribia katu. Tukiyamaliza haya, hamtatuona tena.
We lawmaina ni nani aliyewaweka ninyi wakenya kuwa wapambe wetu Wa kutangaza mambo yetu Kama si kimbelembele chenu. Lawmaina don't pop noise on others business.Jameni mnafaa mshtuke na kufahamu ulimwengu wa kisasa jinsi ulivyo, zindukeni. Hii giant yenu italala hadi lini, kila siku ni vitisho tu, eti "giant will wake up one day". Hata huo utalii hamna uwezo wa kuutangaza, Tanzania ilitangazwa kuwa nchi yenye vivutio vizuri Afrika yote, lakini bado takwimu ni zile, yaani tofauti ni kidogo tu, hata Zimbabwe inawashinda kwenye jumla ya watalii.
Tatizo lenu kubwa ni kutumia Kenya kama kigezo cha maendeleo yenu, ilhali mnafaa muwe kwenye ligi pamoja na Nigeria. Madini na raslimali zote mnazo lakini bado mpo pale pale. Sisi hapa bado tuna matatizo ya Alshabaab, lakini hapo mbeleni hamkutukaribia katu. Tukiyamaliza haya, hamtatuona tena.
lawmaina78 usitulaumu.tupo sahihi kupuuza na kutokulizungumzia hili swala la free facebook access from tigo.
tunajua uhuni wa makampuni ya kusambaza huduma za simu za mkoni.mfano ni hao tigo.
kwanza speed yao ya internet ni very poor.inategemea na distance kati ya mtumiaji wa huduma na ilipo tower ya tigo.
ingekuwa vodacom,airtel,zantel au ttcl hakika tungeshangiria sana.
tigo ni "mbululaz" of its kind when it comes to providing best internet services.so to hell with their free fb access project.
Dunia siku hizi ni kijiji kaka.
We lawmaina ni nani aliyewaweka ninyi wakenya kuwa wapambe wetu Wa kutangaza mambo yetu Kama si kimbelembele chenu. Lawmaina don't pop noise on others business.