Wakenya wote Ndio Mlivyo. Very very very very.... Arrogant.
Halafu Kionozi mzima ana conclude kwamba Eti kuna Mtu analeta omba mjini asubuhi halafu jioni anamrudisha Nyumbani? Aisee hii ni kali ya mwaka.
Mimi nawajua sana wakenya, Mnawachukia sana watanzania wanao ishi huko. Nakumbuka Kipindi nasoma Kule, Mablaenketi yakiibiwa Macho yote kwangu, Kisa mimi ni Mtanzania.
I will never forget the Life I had There In Kenya. Nashangaa Mnavyojinafasi hapa kwetu.