EthanMallaky Member Joined Oct 28, 2017 Posts 57 Reaction score 30 Oct 29, 2017 #1 -Kila kukicha watanzania wanalalamika maisha n magumu,Muheshimiwa raisi twakuomba utufikirie zaid sio kwamba rushwa na mianya ilifanya urahisi wa maisha hapo kwanza inawezekana kuna njia rahisi nyingine ya kupunguza ugumu wa maisha..
-Kila kukicha watanzania wanalalamika maisha n magumu,Muheshimiwa raisi twakuomba utufikirie zaid sio kwamba rushwa na mianya ilifanya urahisi wa maisha hapo kwanza inawezekana kuna njia rahisi nyingine ya kupunguza ugumu wa maisha..
Niccolo Machiavelli JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,881 Reaction score 3,661 Oct 29, 2017 #2 Adui wa wa Tz ni mbunge na kiongozi yeyote wa CCM. .