Tanzania ya Magufuli

Unatupotezea muda tu na post zako za kienyeji.
 

Vijana wenzangu
tusijitafutie laana bure
Kwa kutokumchagua magufuli

Magufuli hafanan hata kidogo na fisadi lowasa

Yy n msomi
Ana afya njema
Sio mnafiki
ana msimamo
Ni mkweli
Ni muadilifu
Mchapakazi

Na
Hajawahi kujinyea hata alipokuwa mdogo
 
Ni zuzu pekee anaeweza kuamini haya hata akitenga 80% ya bajeti kwa miaka 5 hawezi. arudishe kwanza hela za samaki na alizosema mkaguzi mkuu wa serikali CAG ndo atoe ahadi mpya

Tuhuma za kipumbavu na kilofa zisitunyime rais bora
 
TANZANIA YA MAGUFULI
Hii ndiyo Tanzania mpya ya Dr. John Magufuli
1. Vijiji vyote Tanzania vitakuwa na umeme wa uhakika, Rural Energy Argency (REA) imeshaanza kazi hiyo.
Mpumbavu wewe! Mjini kwenyewe hakuna umeme wa uhakika, toka Tanzania ipate UHURU, itakuwa vijijini?

Huu ujinga muwe mnajadili wenyewe huko LUMUMBA, msiulete huku mnazidi kututia hasira!
 
Naashauri tuanze na richmond, unaonaje hapo?

Ndio tuanze na RICHMOND. Atuambie RICHMOND ni ya nani? Maana JK kashindwa / kagoma kutuambia. Baadaye EPA , Escrow, Twiga na pembe za Ndovu, MV Bagamoyo na fedha za samaki wa Magufuli nani atalipa?
 
Magufuli atajenga nyumba za serikali wakati zilizokuwepo aliuza?
 
Vijana wenzangu
tusijitafutie laana bure
Kwa kutokumchagua magufuli

Magufuli hafanan hata kidogo na fisadi lowasa

Yy n msomi
Ana afya njema
Sio mnafiki
ana msimamo
Ni mkweli
Ni muadilifu
Mchapakazi

Na
Hajawahi kujinyea hata alipokuwa mdogo

akajifunze kiswahili miaka 5,kisha English miaka 10,mana ni mtupu sana hapo then aje ajaribu tena kama bado atakuwa hai na nasikia anatumia moyo wa mbao or sorry plastic. ..kwasasa wacha tumpe uongozi lowasa, Hiyo Tanzania ya magufuli ataiota sana japo anatia huruma akilialia majukwaani kuomba kura lakini kazi ya ikulu haimfai kwakua anajinasibisha yupo fiti aje nimpe tender anipigie matofali nianze ujenzi wa gorofa yangu ya mbezi
 
Makada wa CCM mfikishe ujumbe huu sehemu husika kwamba "Mait imefufuka so hakuna vya kurth tena " dili limekuwa dilisha hay HATUWAELEW hata mje chin ya uvungu mtoe Sera mnapiga kelele.....kwa saut Ya Mzee Juni Haji....Ccm kwisha kishwa kifo cha Mende....ndembendembe...Chaliiiiiii...!

Kwa sauti ya Mh Mbowe "kunja Ngumi kwanza twende. Peoplessssssssssss
 
Umeme vijiji vyote? Makao makuu ya nchi hakuna umeme wa uhakika na ni miaka zaidi ya 50 tangu tupate uhuru then inawezekanaje kufanikisha hili kwa miaka 5? RETHINK
 

Huyu ndo kura yangu Magufuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…