GDP yetu kubwa kuliko china.......
GDP growth rate ndo kubwaGDP yetu kubwa kuliko china.......
a we jamaa wa wapi. Tofautisha GDP na GDP growth bana. Jamaa anazungumzia projected GDP growth rate. kwa mfano kama una sh 1 na unategemea kupata sh. 2 growth rate yako ni 100% na kama una shs 100 na unategemea kupata shs 120 growth rate yako ni 20%. Tanzania-China caseGDP yetu kubwa kuliko china.......
Hahahaa in that case Tanzania ndo mwenye sh 1aaaa
a we jamaa wa wapi. Tofautisha GDP na GDP growth bana. Jamaa anazungumzia projected GDP growth rate. kwa mfano kama una sh 1 na unategemea kupata sh. 2 growth rate yako ni 100% na kama una shs 100 na unategemea kupata shs 120 growth rate yako ni 20%. Tanzania-China case
aaaa