ilishinda jana...3-0 dhidi ya Gambia hapo hapo Abidjan.
Elephants trample Scorpions in Abidjan - SuperSport - Football
mmmmmh!!ngoja nicheki kwenye dictionary yangu ya mapenzi!!
furaha yako isikufanye uzalilishe majina ya watu. mia
Mbona ndivyo mashabiki wa Mazembe wanavyomuita mkuu.
Huyu Dogo ni hatari sana, pale Msongamanoni alikuwa anasugua benchi, ajabu! Anatakiwa aende Arsenal haraka sana, ni mkali zaidi ya DEMBA BA.
furaha yako isikufanye uzalilishe majina ya watu. mia
dictionary yangu inaniambia wasukuma kwa k!!hata kama una umwa wao wanataka tu!!!Mkuu niamini, hiyo ni lugha yangu ya kwanza, tafsiri hiyo ni sahihi, ya uhakika, kweli na thabiti.
Angalia magoli mkuukwa tusio Bongo wapi tunaweza kutazama hili game? Nipeni links.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars.
Hahahahah teh teh teh teh Mkuu Zamaulid, umeona mkuu eeeh yaani huku kwetu ukiona hivyo basi ng'ombe zizi zima zinakwenda. Lakini siku hizi imepungua, zamani ndo usiseme.WA-UKENYENGE,kuna jamaa mmoja alikuwa ananiambia bhasukuma ku-nyo nolo okosataga bhoyi bhatogilwe doho!!sijui ina maana hani ila nikiangalia hiyo avatar yako mmmh labda kweli!!
Kaseja ni tatizo toka simba hadi staz, umri wake kwa sasa anatakiwa kujenga heshima kama alivOkuwa van der ser. Watu wanashinda 8 na wanaendelea kukaza vilevile. Kabweteka sana ndo maana hatakiwi simba.... Big up to sammata kwani aliona tz mizinguo ndo maana hata nje anakaza hajali yupo wapi yeye kajua kazi yake vizur