Noti ya milioni ikitengenezwa haitokua na kazi,hata wewe ukipewa
hutopata pakuitumia,unafkiri nani ata risk kupokea noti ya 1m asee, sasa hv tu
ukiomba chenchi ukimpa mtu noti ya 10k tu,anaigeuza geuza kama chapati kwenye frampeni
anaikagua kiasi kwamba sio Poa, unipige noti feki ya 1m hivi si ntalia mwezi mzima,Mkuu hizo noti
hazitokaa zitengenezwe, Risk ni kubwa na hazitotumika hata noti za 50k sjui 100k sidhani asee Badoooo sanaa...
Tukomae tu na hizi hizi nyekundu zetu bado zinatisha sana tu,mtu aki iona mshpa unasmama kama kaona nn sijui...