Goodluck TZ JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 1,448 Reaction score 662 Mar 25, 2017 #2 Na bado ukizima data waweza kukuta nch imebadilishwa jina
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,378 Mar 25, 2017 #3 Kusema ni marufuku, ila kuandika poa, kama mimi na wewe hapa jf.Au?
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 12,077 Reaction score 24,444 Mar 25, 2017 #4 Naisujaki Lekangai said: Kusema ni marufuku, ila kuandika poa, kama mimi na wewe hapa jf.Au? Click to expand... boyfriend wa kizungu bado anakuzingua?
Naisujaki Lekangai said: Kusema ni marufuku, ila kuandika poa, kama mimi na wewe hapa jf.Au? Click to expand... boyfriend wa kizungu bado anakuzingua?
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,378 Mar 25, 2017 #5 Humphnicky said: boyfriend wa kizungu bado anakuzingua? Click to expand... Komenti yako haihusiani na mada niliyoisoma kisha nikakomenti.Kama una shauku ya kujua maisha yangu ya huko nyuma, anzisha mada jlw ntakudadavulia yote na mengine usiyoyajua!
Humphnicky said: boyfriend wa kizungu bado anakuzingua? Click to expand... Komenti yako haihusiani na mada niliyoisoma kisha nikakomenti.Kama una shauku ya kujua maisha yangu ya huko nyuma, anzisha mada jlw ntakudadavulia yote na mengine usiyoyajua!