Tena kwa sasa hizo ongezeko za mishahara msahau,
How can we build a 2100MW HEP Dam kama watu wajinga kama wewe mnasimamia kuongezwa mishahara? Hivi unajua ili nchi irndelee inahitaji Miundombinu thabiti ya Reli na Barabara?
This time tena mfungwe kabisa midomo hakuna kuongeaongea ujinga, tunahitaji maendeleo siasa za ccm na chadema is a wastage of time,
Magufuli ni hadi 2025.