joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Labda nikupe taarifa muhimu, pumbavu ni mama yako aliyekuzaa. Kuhusu uwezo wa kulipia hii miradi, tatizo lako wewe huna akili hata kidogo, na hujui miradi inavyolipwa, mkandarasi huwa anatanguliziwa asilimia ndogo mwanzoni mwa mradi, lets say 25%, yeye anajenga kwa pesa yake, mara nyingi anakopa, akishamaliza kazi na hiyo kazi ikikubalika ndiyo analipwa pesa iliyobaki.Kwa akili yako finyu ni ya mwaka juzi pumbavu mkubwa. Na nchi inayobana matumizi yake matokeo yake deni lake la Taifa hukuwa kwa 15 trillions. Na hivyo ndani ya miezi 10 kuwa na pesa nyingi sana za kuweza kufinance miradi yake yote ya maendeleo huku ikishindwa kuongeza mishahara kwa Wafanyakazi wake na kuwapa mikopo wanafunzi wote wanaostahili kupata mikopo.
Ujuha wako siyo humu nenda nao mtaa wa lumumba humu tutakuchapa za uso kwa kutaka kutuaminisha uongo.
Sasa mbona hujibu, huu ujenzi unaoendelea sasa hivi wa SGR pesa imetoka wapi, au hata huo ujenzi haupo?Akili yako finyu sana hili limekuzidi kimo unaandika pumba tu na kuonyesha ujuha wako uliopitiliza. Rudi shule ukaelimike badala ya kuja humu na kutaka kuonyesha ni mjuvi kumbe ni ZWAZWA tu.
Serikali hiyo hiyo miezi 10 iliyopita ilikuwa inahangaika duniani kote kutafuta financiers leo imepata pesa zake za kufadhili miradi ya maendeleo lakini wakati huo huo kushindwa kusema imepata wapi pesa hizo.
Hakuna tax collection base ya kuweza kufadhili miradi ya maendeleo ni UONGO WA HALI YA JUU.
Sasa mbona hujibu, huu ujenzi unaoendelea sasa hivi wa SGR pesa imetoka wapi, au hata huo ujenzi haupo?
Tena kwa sasa hizo ongezeko za mishahara msahau,Usimuamini huyo muongo dhalimu anayedai tuna pesa nyingi sana halafu anashindwa kuongeza mishahara kwa Wafanyakazi, anashindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu walioomba 62,000 waliopata ni 31,000 tu bajeti hewa kila wizara badala ya kupewa 100% ya bajeti husika wanapewa 20% 30 na labda 40% fungua akili yako.
Hata zabuni aliyopewa mchina ya kujenga SGR aliicancel mapema tu akampa mturuki. Prezdaa anajitahidi sana kuzuia kupigwa pesa kizembeHiyo ilikua ni mipango lakini jpm aliikansel kutokana na masharti yao kua magumu, hao wachina ndio wanaowatapeli wakenya mpaka kesho
Labda nikupe taarifa muhimu, pumbavu ni mama yako aliyekuzaa. Kuhusu uwezo wa kulipia hii miradi, tatizo lako wewe huna akili hata kidogo, na hujui miradi inavyolipwa, mkandarasi huwa anatanguliziwa asilimia ndogo mwanzoni mwa mradi, lets say 25%, yeye anajenga kwa pesa yake, mara nyingi anakopa, akishamaliza kazi na hiyo kazi ikikubalika ndiyo analipwa pesa iliyobaki.
Kwa maana hiyo kama mradi utachukua miaka mitatu, nchi inapata muda wa kutosha wa kukusanya hiyo pesa kwa kutenga kiasi cha pesa kutoka kila bajeti ya mwaka katika hicho kipindi cha miaka mitatu au zaidi, ikizidiwa ndiyo inatafuta mkopo wa riba nafuu, ndivyo Tanzania inavyofanya. Lazima mambo yote yaende kwa wakati mmoja, hatuwezi kuweka nguvu zote katika mishaara, au elimu wakati sehemu zingine zimelala, lazima kidogo kilichopo kigawanye ili shughuli zote ziende kwa pamoja.
Wewe unayejua kuhusu haya mambo tuambie basi ili tuelimike, ndiyo faida ya hii mijadala, utafanya kosa kubwa sana kama utaondoka bila kujifunza kitu kipya katika hii mijadala, kama unahisi hakuna pesa, hii reli inayojengwa, na trains ambazo zinakaribia kununuliwa pesa inatoka wapi?Hakuna pesa wewe! Usiamini hii Serikali ya waongo!!! Fungua akili yako! Za kuambiwa changanya na zako!!!
I dont know how TZ accounts for it public finances, But what I know is that its easy to know whether the Country has Money Or Not. First thing to check is the country's budget which is openely debated in parliament.Hakuna pesa wewe! Usiamini hii Serikali ya waongo!!! Fungua akili yako! Za kuambiwa changanya na zako!!!
Tena kwa sasa hizo ongezeko za mishahara msahau,
How can we build a 2100MW HEP Dam kama watu wajinga kama wewe mnasimamia kuongezwa mishahara? Hivi unajua ili nchi irndelee inahitaji Miundombinu thabiti ya Reli na Barabara?
This time tena mfungwe kabisa midomo hakuna kuongeaongea ujinga, tunahitaji maendeleo siasa za ccm na chadema is a wastage of time,
Magufuli ni hadi 2025.
Wewe jamaa ni kilaza kweli,Bado huelewi tu taahira wewe huyu mkurupukaji ndiye aliyehusika na hasara kubwa kwa Taifa katika maamuzi yake mbali mbali. Na hili akikurupuka tena Taifa litaishia kupata hasara kubwa sana.
Hakuna pesa ya kujenga SGR bila kukopa HUO NI UONGO WA HALI YA JUU labda kama hiyo SGR itajengwa kwa miaka 20 au 25 ijayo.
Ni hasara kubwa sana kwa Taifa letu kuwa na majuha kama wewe ni bora tu babaako angetumia ndom kuliko kuleta duniani mpumbavu kama wewe!!!
Labda nikuongezee hapo, inawezekana mama yako alikuwa kahaba na akakutana na baba yako aliyekuwa shoga enzi hizo kabla kuacha ushoga ndiyo ukazaliwa wewe. Jibu swali huu ujenzi ambao umeanza na kumbuka hii ni international tender, vipi pesa zimetoja wapi, au hata huo ujenzi haupo?Bado huelewi tu taahira wewe huyu mkurupukaji ndiye aliyehusika na hasara kubwa kwa Taifa katika maamuzi yake mbali mbali. Na hili akikurupuka tena Taifa litaishia kupata hasara kubwa sana.
Hakuna pesa ya kujenga SGR bila kukopa HUO NI UONGO WA HALI YA JUU labda kama hiyo SGR itajengwa kwa miaka 20 au 25 ijayo.
Ni hasara kubwa sana kwa Taifa letu kuwa na majuha kama wewe ni bora tu babaako angetumia ndom kuliko kuleta duniani mpumbavu kama wewe!!!
I dont know how TZ accounts for it public finances, But what I know is that its easy to know whether the Country has Money Or Not. First thing to check is the country's budget which is openely debated in parliament.
Its Very silly for a person to insist that the country is broke and not give substantive evidence. In any case, you will know a country is broke when symptoms start appearing. Like in kenya, police salaries have been reduced, we are borrowing eurobond to pay loans, county goverments have not received funds from the national Gvt for 3 months
Ndio maana nimesema wewe huna akili. Na kudhibiti watu wasio na akili kama wewe wasiendelee kupayukapayuka na kubwabwaja pasi ya hoja za msingi ni kuwafunga midomo, (this is what Magufuli is doing)Hakuna wa kufungwa mdomo mpumbavu wewe. Kwa miliki ipi uliyokuwa nayo ya Tanzania hadi uwafunge watu midomo!?
Mnadanganywa uchumi unakuwa kuliko nchi yoyote ile ya Afrika lakini ukweli halisi wa uchumi hauko hivyo uchumi unaanguka watu wanafunga mabiashara yao chungu nzima.
Sasa hiyo kodi ya kujenga SGR itakusanywa kutoka vyanzo vipi vya mapato ili kufadhili ujenzi wa SGR!?
Fungueni akili zenu!!!!
Mie huwa sikurupuki ninapoandika humu.
Muwe Manson’s kwa makini badala ya kukurupuka na kuja kuandika pumba humu. Unadhani hii Serikali ya waongo itakwambia wewe kwamba iko broke!? Tafakari kwa kina.
Revealed: Govt projects underfunded
Ndio maana nimesema wewe huna akili. Na kudhibiti watu wasio na akili kama wewe wasiendelee kupayukapayuka na kubwabwaja pasi ya hoja za msingi ni kuwafunga midomo, (this is what Magufuli is doing)
Kwa Miongo kadhaa tumekuwa na viongozi waliojaribu kuendesha nchi kwa kusikiliza wananchi wanasemaje, njia hii imetufikisha hapa kama Taifa,
Sasa huu ni utawala wa Chuma, Hakutakuwa na ongezeko la mishahara hadi hii miradi iishe,
Na pia inaonekana upo mkoani, Muda huu mafundi wapo Site wanajenga SGR, sijui wewe unaongelea nini tena,
Narudia, safari hii mkae kimya, mnatupigia kelele hoja zenyewe hamna, vichwa vimejaa kamasi,
Tires of politics, tunahitaji maendeleo and that's it.
Ndo hao walisema tutashtakiwa MIGA. In short JPM sio mwana siasa watz wanashindwa kulielewa hiloWewe jamaa ni kilaza kweli,
Huwa nimisoma comments zenu nashangaa jinsi watz wengi sampuli yako ni Vilaza,
Kama serikali inajenga SGR kwa ajili ya wananchi wake what is your problem?
Mnataka maendeleo au mnataka politics,?
Yaani inabidi tu nifurahie jinsi Magufuli alivyowabana makende awamu hii hakuna kupayukapayuka na kurudisha juhudi za serikali nyuma,
It seems your Biggest Problem is Low Salary and No Increament. Do this,Hujui athari ya watu kutoongezwa mishahara wewe mpumbavu au usingeandika upuuzi wako. Watu hawafanyi kazi matokeo yake ni mabaya sana kwa Taifa ambalo kwa miaka 57 ya uhuru pamoja na utajiri mkubwa wa rasilimali halina kitu cha kujivunia na unadhani kama huyo dhalimu ataleta maendeleo utasubiri sana.
Dhalimu aliyejaa dhuluma ni janga kubwa la Taifa hakustahili kuiongoza nchi na waliomsukumizia huyu Ikulu walifanya makosa makubwa sana.
We jamaa ni nyumbu sijawahi ona aisee.. We unajua deni letu ni asilimia ngapi katika uchumi wote?? Yani unaongea Pumba za mwisho Duniani..Kwa akili yako finyu ni ya mwaka juzi pumbavu mkubwa. Na nchi inayobana matumizi yake matokeo yake deni lake la Taifa hukuwa kwa 15 trillions. Na hivyo ndani ya miezi 10 kuwa na pesa nyingi sana za kuweza kufinance miradi yake yote ya maendeleo huku ikishindwa kuongeza mishahara kwa Wafanyakazi wake na kuwapa mikopo wanafunzi wote wanaostahili kupata mikopo.
Ujuha wako siyo humu nenda nao mtaa wa lumumba humu tutakuchapa za uso kwa kutaka kutuaminisha uongo.