Hongera, ila nilijua mlishapita huku, kumbe ndio bado mnatafuta mshauri. Halafu naona kila kitu mnatafuta consultant, sasa vyuo vyenu hivyo mlikwenda kusomea nini.
- Negotiations consultants
- Legal framework consultants
Hao wazungu mnategemea waje kuwaandikia hizi documents ndio hucheza karata za kuwatafuna, maana nyie wavivu likija suala la kusoma haswa Kingereza. Mjifunze high level negotiations and transactions ili muwe mnafanya wenyewe sio baadaye muingie choo cha kike kama ilivyo kwa madini yenu.
Halafu naona LNG export terminal nayo imekua kizungumkuti, eti miaka mingine mitano bado mtakua mnahangaika nayo....Anyway hongera, mpambane ili mtoke huko LDC mje tusukume gurudumu kama power-houses.
Kingine hawajui JPM ali-scrap agreement zote ambazo zilikuwa zinatulalia?Mwanzoni ulianza vizuri lakini baadaye ukaanza kutuponda. Sasa nyie negotiation na Chines kwenye SGR mbona imekuwa hivyo? Au documents zilikuwa in mandarin??
Mwanzoni ulianza vizuri lakini baadaye ukaanza kutuponda. Sasa nyie negotiation na Chines kwenye SGR mbona imekuwa hivyo? Au documents zilikuwa in mandarin??
Nnia yangu ni kutoa maoni kwa uhuru na sio kumfurahisha mtu au kumponda yeyote, nyie consultancies zote hizo mtaishia hata kutangaza zabuni ya mshauri kuja kusoma taarifa ya mshauri wa awali na kuendelea kuuzunguka mbuyu.
Halafu niwajuavyo, hampendi kusoma kabisa, yaani kuna siku tumefanya consultancy kwenu huko tukaandaa ripoti iliyozidi kurasa 300 na kutoa kama rasimu/draft, tukawapa jamaa na kuomba kikao baada ya kama wiki mbili ili tuje kujadili. Yaani siku ya kikao ilipowadia unakuta hakuna aliyesoma hata kurasa moja, unaingia ukumbini umejiandaa mjadili halafu unashangaa unaongea mwenyewe.
Sasa nikiwaza hiyo mikataba ya LNG na hayo makampuni ya wazungu wanaokuja kuwaandalia maripoti...naishia kucheka.
Huna inachokijua. Remember its a 30bn usd project. Tz and the entire EA has no experience on LNG. we really need to get much out of this project ndio maana tunatafuta consultant. Even devoped countries huwa wantafuta consultant pia if neededHongera, ila nilijua mlishapita huku, kumbe ndio bado mnatafuta mshauri. Halafu naona kila kitu mnatafuta consultant, sasa vyuo vyenu hivyo mlikwenda kusomea nini.
- Negotiations consultants
- Legal framework consultants
Hao wazungu mnategemea waje kuwaandikia hizi documents ndio hucheza karata za kuwatafuna, maana nyie wavivu likija suala la kusoma haswa Kingereza. Mjifunze high level negotiations and transactions ili muwe mnafanya wenyewe sio baadaye muingie choo cha kike kama ilivyo kwa madini yenu.
Halafu naona LNG export terminal nayo imekua kizungumkuti, eti miaka mingine mitano bado mtakua mnahangaika nayo....Anyway hongera, mpambane ili mtoke huko LDC mje tusukume gurudumu kama power-houses.
Lol. Hayo nimawazo yako. Mbona kwenye bomba la mafuta kutoka uganda hatujaseek consultation? This is a big project my friendNnia yangu ni kutoa maoni kwa uhuru na sio kumfurahisha mtu au kumponda yeyote, nyie consultancies zote hizo mtaishia hata kutangaza zabuni ya mshauri kuja kusoma taarifa ya mshauri wa awali na kuendelea kuuzunguka mbuyu.
Halafu niwajuavyo, hampendi kusoma kabisa, yaani kuna siku tumefanya consultancy kwenu huko tukaandaa ripoti iliyozidi kurasa 300 na kutoa kama rasimu/draft, tukawapa jamaa na kuomba kikao baada ya kama wiki mbili ili tuje kujadili. Yaani siku ya kikao ilipowadia unakuta hakuna aliyesoma hata kurasa moja, unaingia ukumbini umejiandaa mjadili halafu unashangaa unaongea mwenyewe.
Sasa nikiwaza hiyo mikataba ya LNG na hayo makampuni ya wazungu wanaokuja kuwaandalia maripoti...naishia kucheka.
Ripoti gani uliandaa na kazi yako ya Urubani? Wacha masifa.Nnia yangu ni kutoa maoni kwa uhuru na sio kumfurahisha mtu au kumponda yeyote, nyie consultancies zote hizo mtaishia hata kutangaza zabuni ya mshauri kuja kusoma taarifa ya mshauri wa awali na kuendelea kuuzunguka mbuyu.
Halafu niwajuavyo, hampendi kusoma kabisa, yaani kuna siku tumefanya consultancy kwenu huko tukaandaa ripoti iliyozidi kurasa 300 na kutoa kama rasimu/draft, tukawapa jamaa na kuomba kikao baada ya kama wiki mbili ili tuje kujadili. Yaani siku ya kikao ilipowadia unakuta hakuna aliyesoma hata kurasa moja, unaingia ukumbini umejiandaa mjadili halafu unashangaa unaongea mwenyewe.
Sasa nikiwaza hiyo mikataba ya LNG na hayo makampuni ya wazungu wanaokuja kuwaandalia maripoti...naishia kucheka.
We jamaa unajifanya unawajua sana wabongo?Kwahyo hao watu wako wawili ndio tayari ushapata sampuli ya kuwakilisha Nchi nzima?Nnia yangu ni kutoa maoni kwa uhuru na sio kumfurahisha mtu au kumponda yeyote, nyie consultancies zote hizo mtaishia hata kutangaza zabuni ya mshauri kuja kusoma taarifa ya mshauri wa awali na kuendelea kuuzunguka mbuyu.
Halafu niwajuavyo, hampendi kusoma kabisa, yaani kuna siku tumefanya consultancy kwenu huko tukaandaa ripoti iliyozidi kurasa 300 na kutoa kama rasimu/draft, tukawapa jamaa na kuomba kikao baada ya kama wiki mbili ili tuje kujadili. Yaani siku ya kikao ilipowadia unakuta hakuna aliyesoma hata kurasa moja, unaingia ukumbini umejiandaa mjadili halafu unashangaa unaongea mwenyewe.
Sasa nikiwaza hiyo mikataba ya LNG na hayo makampuni ya wazungu wanaokuja kuwaandalia maripoti...naishia kucheka.
Huna inachokijua. Remember its a 30bn usd project. Tz and the entire EA has no experience on LNG. we really need to get much out of this project ndio maana tunatafuta consultant. Even devoped countries huwa wantafuta consultant pia if needed
Acha kujikuta Unatujua Watiz kichwa kimejaa Masifa na kujisifia as if umekua Albert EinsteinMakes sense lakini build capacity msitegemee consultants kwa kila kitu, mtaliwa...
Nchi za Africa tuna ibiwa siyo kwa sababu hamna wataalamu ila ni kwa sababu watu wachache wenye mamlaka wana tanguliza matumbo yao. A bad deal ina onekana kirahisi sana, ila basi tu watu wana jitiaga upofu. Tena ishu kama hizi una eza jifunza kwa waliokutangulia. Kuna kitu Magu atakua amekiona kama deal la SGR ya wachina (ambao Kenya mlilikubali) hii ni mbinu ya kuwapinga ki diplomasia na kupata uhakika zaidi.Makes sense lakini build capacity msitegemee consultants kwa kila kitu, mtaliwa...
kuna siku tumefanya consultancy kwenu huko tukaandaa ripoti iliyozidi kurasa 300 na kutoa kama rasimu/draft, tukawapa jamaa na kuomba kikao baada ya kama wiki mbili ili tuje kujadili. Yaani siku ya kikao ilipowadia unakuta hakuna aliyesoma hata kurasa moja, unaingia ukumbini umejiandaa mjadili halafu unashangaa unaongea mwenyewe.
Nakuona katika ubora wako! Arrogant as you used to be!
*Hebu twambie, hiyo consultancy mlifanya kwa public au private entity?
*Baada ya kukosekana aliyesoma hata page moja, mlifanyaje aftermath?
Hili ni la kwako kujibu, maana liko personalHilo swali nakushauri, ili upate jibu rahisi, muulize mkandarasi yeyote ambaye anaishia kuandika maripoti baada ya kazi huko kwenu. Kama unaye rafiki yeyote, utapata jibu nzuri tu.
U are the really asset at home nigger, just keep it up. I had been for a time following ur posts, they're incredibly constructructive and pro-nationalistic, something many here can't afford and never dared to adhere.Kingine hawajui JPM ali-scrap agreement zote ambazo zilikuwa zinatulalia?