Hats hiyo CV nimetuma lakini back inasema undelivered. Kwako imeenda?
Me mwenyewe ilinigomea hiyo kituSongíto;7047393 said:hawa magumashi tu.... hilo tatizo lipo muda tangu walipotangaza post za network administrator, mimi niliwapigia simu kuwajulisha wakajibu wanarekebisha lakini haikuwa hivyo... unatuma file dogo tu lenye KB haliendi hata