mh!! kwa taarifa na tetesi nilizonazom kutoka kwa baadhi ya watu wenye uzoefu na hizo ishu, wanasema kuwa maswali yatakayo ulizwa ni ka manne hivi na utayafanya kwa muda wa dakika 45, zen watakaofaulu wataitwa kwenye usili wa pili ambao utakuwa ORAL siyo tena WRITTEN nao utakuwa kwa hawamu 2 hivi zen watachuja watu mpaka watakapo pata hao 30 wanaowaitaji. ila kumbuka akili yako yote iandae kwenye maswali ya mauzo kama ajira inavyoitaji, mfano unaweza kuulizwa ufanye nini ili uweze kuongeza wateja. kiujumla ni maswali ya applicatio tu. vitu ka hivyo kazini nzuri kwa upande wamalipo and other beneficiary, ukifanya vizuri pindi ukimaliza interview unaweza kupewa mkataba mwingine. ni hayo tu wakuu mwenye kuongeze, kukosoa mnakaribishwa. coz kila mtu na mtaamo wake!!