The Quonquerer
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 777
- 111
But also, sijaliona kama suala la woga kwa Tanzania. Kwa Muungano si suala la hiari? Sisi tulichelewa na kuahirisha maendeleo yetu, tulijotoa mhanga, muda na mali zetu kukomboa nchi za kusini mwa afrika na nyingine zilizokuwa zinakandamizwa. Wakati sisi tukigoma kufanya biashara na makaburu, na wengine kama wao, Kenya walifanya mchana kweupe! Hawa wali-support ubaguzi wa rangi dhidi ya waafrika kama wao. Je ni watu wa kuamini na kuishi nao hawa. Kwanza utamaduni wetu hauko compatible! Baada ya miaka yote hiyo ya hasara, je tunalazimika kupelekwa mbio na watu ambao tulikuwa tuko milengo miwili tofauti. Nadhani si suala la biashara peke yake, kuna zaidi! Smatta, uache watu watoe maduku duku yao, siyo kusema unachukiwa. Lugha huwa ina vionjo pia, kwa hiyo take it easy, watu wakupe vidonge, ukishindwa kumeza viteme. Isn't this a forum where we dare to talk openly! Mi umenitukana ila sijali, cha msingi ni kile ninachosimamia! Hivyo ni vionjo tu.
Smatta,
Ndugu yangu tunawapenda sana: Wakenya wengi wazuri tu: na baadhi ya wadada warembo sana..nilipata demu wa Kiluo alikuwa mstaarabu sana na mrembo!
Tu ndugu moja!
Niaje mtu wangu, siku mob joh, umepotelea wapi?
I know that we brothers mayn, I dont hate anyone especially because of his country of origin, thats just dumb.
I love Tanzanians, thats why am stuck in this forum. Na pia nina mdada mpare mrembo sana, na labda ntakuja oana naye siku moja. We family whether we like it or not.
Enjoy your day homes.

Smatta, no matter what few of us in this forum, the fact will remain that Tanzania and Kenya are connect, we love each other. And the good thing is, we can choose friends but we can not choose neighbors and relatives. Hatuwezi kukwepana hata kidogo, lakini ni lazima tuhakikishe kuwa tunaposhirikiana tuwe na ushirikiano wa kujengana na kunufaishana na sio wa kubomoa upande mmoja.
But also, sijaliona kama suala la woga kwa Tanzania. Kwa Muungano si suala la hiari? Sisi tulichelewa na kuahirisha maendeleo yetu, tulijotoa mhanga, muda na mali zetu kukomboa nchi za kusini mwa afrika na nyingine zilizokuwa zinakandamizwa. Wakati sisi tukigoma kufanya biashara na makaburu, na wengine kama wao, Kenya walifanya mchana kweupe! Hawa wali-support ubaguzi wa rangi dhidi ya waafrika kama wao. Je ni watu wa kuamini na kuishi nao hawa. Kwanza utamaduni wetu hauko compatible! Baada ya miaka yote hiyo ya hasara, je tunalazimika kupelekwa mbio na watu ambao tulikuwa tuko milengo miwili tofauti. Nadhani si suala la biashara peke yake, kuna zaidi! Smatta, uache watu watoe maduku duku yao, siyo kusema unachukiwa. Lugha huwa ina vionjo pia, kwa hiyo take it easy, watu wakupe vidonge, ukishindwa kumeza viteme. Isn't this a forum where we dare to talk openly! Mi umenitukana ila sijali, cha msingi ni kile ninachosimamia! Hivyo ni vionjo tu.
Muda mzuri wa kuungana na Kenya ni wakati watakapoacha kuuana kama Kima. (Hata mwaka haujaisha walikuwa kwenye mauaji ya kikatili) Leo ati Kenya wanataka kutuchagulia cha kufanya? Ni viwanda vipi wanavyoringia? Uchumi wa Kenya uko controlled na majority British citizens wao waendelee kuota tu na kuwa watumwa wa waingireza. Mtu mzima na akili yako unakuwa huna lugha ya kujivunia na kukumbatia rangi, angalia Japan, China, Sweeden, pamoja na nchi nyingi za ulaya wanajivunia lugha zao. Hebu niambie Kenya mnajivunia nini mungiki? We Smata ushukuru watanzania wanakukarimu na kaji kazi kako hako unakoringia, leo hii ukiambiwa urudi kwenu hutaki? Ukumbuke unapata hiyo kwa kuziba nafasi ya mtanzania na kumbuka iko siku tutawafukuza tu. Bado hatujasahau jinsi mlivyodhulumu EAC assets.
i wanted to present my opinion but i cant help but notice just how much tanzanians hate kenyans, it is very sad to see how much tanzanians hate kenyans. very sad indeed.
WOW!!! it is just astonishing reading the strong negative emotions tanzanians have for kenya, while kenyans like tanzanians very much. if only kenyans knew how much you guys dislike us
Namshukuru sana Joka Kuu kwa kuwa elaborate. Yeye ana - present in a more civilized way, unlike me who is thought to be an extremist hater, when i actually hate none but only i try to bring a point home. But i am not sure whether Smatta will understand what this gentleman is talking about. Joka Kuu historia ya nchi imemkaa. Sisi tukisema tunawapenda jirani zetu wa Kusini, Wakenya hawataki kusikia, na inawauma sana!!!!!!!. That's history, you can't erase it. Wivu wa nini? Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe. Ni ndugu zetu wa damu wale, a friend in need is a friend indeed. We needed them, and were there.
Wewe Smatta usiseme nyinyi, jiseme wewe. Wewe kunichukulia serious au kinyume chake ni kazi bure kwangu. Najua unachotaka, sicho watu wengi wa nchi hii wanataka. Majority ya watanzania walishasema no to Federation, bado unalazimisha, unapoteza muda wako. Anayekukataza kuja Tanzania ni nani? Unatoka kwenye issues, unaanza kulaumu kuwa hupendwi, hatuko kwenye mapenzi. Ni nguvu ya hoja! Usitake kuburuza watu na matakwa yako, waache watu waamue. Nilisema watu wakilazimishwa kuungana, yanaweza kutokea matatizo ya umwagaji damu na vita, sasa, uongo huo? Unasema wanataka kukufanyia genocide, for what good reason? Why do have to create an elephant in order to kill it? Why not plan ahead. Wewe kama unaishi kwa wasi wasi na maisha yako, hizo ni shida zako. But you seem to be obsessed with Tanzania! Omba uraia kwa njia za kawaida, instead of hiding. Hata wahindi wanapewa, kwa hiyo na wewe bila shaka utapata. Wewe usilete mambo personal, kwanza sikujui, hapa tunajuana kwa kila mtu mawazo yake. Mimi nasema kile majority ya wa TZ wanachosimamia. Kwani hata hiyo common market mmeambulia nini? Vipengele vyote tulivyotaka vimepita, tulivyokataa havikupita, tulishawapiga bao. Kumbuka, mi siko mbali na negotiations za integration. Hujaona mood za waTZ experts kwenye hizo negotiations, kwa sababu you don't attend. Unaongelea eti hiyo hela inayoingia kwenye mchakato wa integration lazima ilete federation. How much is Kenya pumping in, hujui. Kwa akili yako unadhani Federation inanunuliwa kwa hela. Tell me, how is EAC being financed? Wewe ni mtu wa mtaani, hujui chochote kuhusu mchakato huu. Sijui ni kitu gani kinakusumbua mpaka unakaa unaota fast tracking ya Federation. Ulisema ni mfanya biashara, nilikwambia nenda TIC wakupe utaratibu wa kuwekeza kama una hela ya kutosha. Unafanya biashara gani, au unakuja kununua machungwa Tanga kwenye FUSO? Au ni wale wa noti bandia?