Tanzania nchi yangu

kabikae

Member
Joined
Mar 13, 2018
Posts
19
Reaction score
30
Hakika huu wimbo umenikumbusha mambo mengi nikiangalia nchi inavyoenda hakuna ustawi ktk jamii,uzalendo,haki,amani na tumaini letu linazidi kupotea kwa kukosa utashi kwa baadhi ya viongozi,rushwa kila kona,uonevu wa kila namna,Uhuru hamna na watanzania kupoteza tumaini kutokana na hali ya maisha wanazidi kuvunjika moyo...huu wimbo una ujumbe mzito sana
 
Kweli watanzania hatuna furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…