PRINCE GEORGE
New Member
- Jan 11, 2012
- 4
- 0
Jamani kuna hii (TANZANIA LOANS SOCIETY) naomba kujua ni vipi nitaweza kuifikia na nikihitaji kupata fomu ili niweze kuupata huo mkopo,plz naomba msaada wenu kama mtaweza kunia na link yake itakuwa pouwa sana
Hao ni matapeli
Sawa nimefanikiwa kujaza hiyo fomu na kulipa 15,000/=kama maelekezo yanavosema kuwa ni ada ya uanachama,tangu saa tatu asubuhi lakini mpaka sasa saa nane mchana bado sijapata taarifa yoyote kuhusu hiyo pesa
Hapo ndio umeshaliwa kaka.. Wajanja ndio ugali wao..Sawa nimefanikiwa kujaza hiyo fomu na kulipa 15,000/=kama maelekezo yanavosema kuwa ni ada ya uanachama,tangu saa tatu asubuhi lakini mpaka sasa saa nane mchana bado sijapata taarifa yoyote kuhusu hiyo pesa