Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Hii nchi ni nchi ya kipuuzi kabisa!tulishasema yote but waswahili wanasema oohoo wanatafuta riziki!...angalia jinsi wahindi wanavyofanya watz watumwa but serikali kimya tu....tanzania ina watumwa wengi sana.......hasa mijiniTanzania imetajwa kuwa kinara wa utumwa miongoni mwa mataifa ya Afrika mashariki katika ripoti ijulikanayo kama The Global Slavery Index - Kielelezo cha utumwa duniani mwaka 2014, ripoti iliyotolewa nchini Australia mwezi Novemba.
Source: Copy and past from fb ya dw