Tanzania-Kenya Relations will remain uneasy forever

Dogo, alichokisema mtoa uzi is naturally happening due to the theory of nature of the survival of the fittest!
Kwa asili kuna wakati hutokea kutokana na ushindani wa asili katika maisha,fafanua zaidi,kwani imani yenu sii ushindani ila uadui,na sii wa asili ila wakupandikizwa,uongo uongo.Ama na sema uongo ndugu zangu.
 
Hivi kumbe Russia na USA ni majirani? Hilo nilikuwa sijajua
Angalia jimbo la Alaska limepakana na nchi gani kwa upande ule mwingine maanake wengine Jiografia haipandi kwani wanajua Australia iko Ulaya na hata Marekani wanasema ni Ulaya.
 
Naona watu wengi hawajui kuwa kuwa Russia na USA ni majira, hawa ni majirani wanatenganishwa na arctic , hivi sasa wako wanagombania rasilimali za uko baada ya theleji kuanza kuyeyuka 🎌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…