i am against the project cause of ecological consequences but i don't buy it ati kenya cares!? since when? go to Masai Mara to see the land grabing within the park! or go to Lamu and hear the new Port disastrous report on on marine environment or the the blockade on animal corridor within Nairobi National Park
Ukishajiuliza hayo maswala then iwe nini? Argument yako ni nini? Je umeelewa nilichoandika au umekurupuka?
hahaha Jaribu basi kutoa japo hoja hata nyepesi nyepesi.Achana naye huyo haelewi analo liongea ndo waliyvo Wakenya wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau
Nimeelewa ulichoandika ndio maana nikatoa mfano wa vijimwasli ya kujiuliza ili kufanya peronal uchambuzi yakinifu za umuhimu na faida za huo mradi. sijakurupuka kabisa tueleweshane kwa hoja zenye uzito.
hahaha Jaribu basi kutoa japo hoja hata nyepesi nyepesi.
Mimi sio Mkenya ni mtanzania .kwa kuwa unajua matatizo ya wakenya sasa labda ueleze sisi watanzania tatizo letu ni nini?
- Nimeuliza swali dogo tu kuna traffic ya mizigo tani ngapi na abiria wangapi wanafanya movement kati ya arusha na mara. Tufanye assumption tuweke na abiria wanaopitia kunya na kushuka arusha na Moshi. Just make a realistic assummtion
Resource including Finance are always scarce. Hili ndio tatizo letu watanzania hatujui kufanya PRIORITY.
Kama tungekuwa tuaangalia vitu kama hivyo ulivyotaja hapo juu kabla hutajenga barabara, basi tungekuwa nazo chache sana. Watu hawatumii sana hii barabara kwa sababu ni mbaya, ila ikijengwa matumizi yake yataongezeka sana!!
Aisee ebu jiulize maswali haya simple
Sidhani kama hapa suala ni la kenya. Hata kama tuna excess financial resounces za kufund ujenzi wa barabara wich is not true , barabara ya Arusha- mara haiwezi na haitakiwi kuwa among top 3 Priority road projects. Unless it is just political kuenzi mkoa wa mwalimu.
- kuna abiria wangapi au mizgo tani ngapi kwa sasa inamove kupitia njia hiyo ? je mikoa ya Mara na Arusha inategemeana?
- Kuna faida gani bidhaa gani , ecnomic activity gani zina umuhimu wa huu mradi?
- Je hivi nini maaana ya neno Hifadhi. au eneo la hifadhi
NB
Tanzania project threatens Kenyas Seventh Wonder!!!!! - their side of a coin
"Tanzania Road project threatens its own 2nd Wonder!!!!!"- Our side of a coin
Nimeelewa ulichoandika ndio maana nikatoa mfano wa vijimwasli ya kujiuliza ili kufanya peronal uchambuzi yakinifu za umuhimu na faida za huo mradi. sijakurupuka kabisa tueleweshane kwa hoja zenye uzito.
Hili ndio tatizo letu watanzania hatujui kufanya PRIORITY.
Sasa ngumbaru , ndoto za mchana zinahusiana na tiitle ya thread. lakini nimeshakuelewa mkuu ndo maana tuko hapa. Hatuko hapa kwa ajili ya kukubaliana tu. Tuko hapa pia kukubali kutofautiana kwa hojaMkuu ndoto za mchana mbaya sana bado hata huelewi nilichoandika. Vipi tukupeleke ngumbaru tena?
nawashangaa ndugu zetu humu ndani mnaotaka barabara hii ijengwe, ni upumbavu mkubwa kujenga barabara kwenye korido za mapitio ya wanyama hali itakayosababisha muingiliano wa kiasilia kwa nyumbu kupotea kabisa na hii ni hatari kubwa mbele yetu kwani tusipokuwa makini kukataa ujenzi huu we will no longer have SERENGETI ana NGORONGORO, acheni siasa katika mambo ya kitaalamu na katika jambo hili hakika historia itatuhukumu, angalieni mikumi wanyama wanavyokufa kwa kugongwa na magari na ile ni hifadhi ndogo tu.
Ili kuwepo na mizigo ya kutosha na abiria wa kutosha lazima barabara imara inayopitika wakati wote iwepo. Ninaunga mkono project iendelee kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania. Masai Mara iliyoungana na Serengeti mbona ina barabara kibao za lami na hoteli kwa wingi sana? Hoteli zilizoko Masai Mara ni nyingi kuliko hoteli za Arusha yote pamoja na mbuga nyingi tulizonazo ukanda huo. Ifike wakati tuangalie maendeleo ya watu wetu na kuweka philosophy za uongo zisizo na utafiti wa kutosha pembeni. Tunahitaji maendeleo ya kweli na lazima tujenge miundo mbinu! Faida za kuwa na mradi huo wa barabara ni kubwa zaidi kuliko argument zinazotolewa. Ukiangalia wanaopiga tarumbeta sana ni KTC kupitia kwa Mkurugenzi wake mzungu!! na Wazungu wengine kuanza kumuunga mkono!! Wakenya walitupinga kuuza pembe za ndovu sasa wao wamesmuggle 750kg za pembe za ndovu kupitia ndege yao ya KQ na zimekamatwa Thailand!!! Imangine!!! wanatupinga ili waendelee kufanya magendo!!!Nimeelewa ulichoandika ndio maana nikatoa mfano wa vijimwasli ya kujiuliza ili kufanya peronal uchambuzi yakinifu za umuhimu na faida za huo mradi. sijakurupuka kabisa tueleweshane kwa hoja zenye uzito.
hahaha Jaribu basi kutoa japo hoja hata nyepesi nyepesi.
Mimi sio Mkenya ni mtanzania .kwa kuwa unajua matatizo ya wakenya sasa labda ueleze sisi watanzania tatizo letu ni nini?
Resource including Finance are always scarce. Hili ndio tatizo letu watanzania hatujui kufanya PRIORITY.
[*]Nimeuliza swali dogo tu kuna traffic ya mizigo tani ngapi na abiria wangapi wanafanya movement kati ya arusha na mara. Tufanye assumption tuweke na abiria wanaopitia kunya na kushuka arusha na Moshi. Just make a realistic assummtion
Mungu ametupa wanya tuwatawale na siyo wao kututawala!!!! Haiwezekana ikawa wanyama wanapewa priority kuliko wanadamu. Ukitaka kujua kuwa barabara wala haitakuwa na tatizo nenda upande wa Kenya mbona Masai Mara imejengwa sana tu na bado hao wanyama wanamigrate kwenda huko? Wakenya wakitaka wajenge ukuta kama wa 1977 na ambao pia wanyama walivunja na kuvuka kuja Tanzania ijapokuwa laki kadhaa walikufa!!!!nawashangaa ndugu zetu humu ndani mnaotaka barabara hii ijengwe, ni upumbavu mkubwa kujenga barabara kwenye korido za mapitio ya wanyama hali itakayosababisha muingiliano wa kiasilia kwa nyumbu kupotea kabisa na hii ni hatari kubwa mbele yetu kwani tusipokuwa makini kukataa ujenzi huu we will no longer have SERENGETI ana NGORONGORO, acheni siasa katika mambo ya kitaalamu na katika jambo hili hakika historia itatuhukumu, angalieni mikumi wanyama wanavyokufa kwa kugongwa na magari na ile ni hifadhi ndogo tu.
Mungu ametupa wanya tuwatawale na siyo wao kututawala!!!! Haiwezekana ikawa wanyama wanapewa priority kuliko wanadamu. Ukitaka kujua kuwa barabara wala haitakuwa na tatizo nenda upande wa Kenya mbona Masai Mara imejengwa sana tu na bado hao wanyama wanamigrate kwenda huko? Wakenya wakitaka wajenge ukuta kama wa 1977 na ambao pia wanyama walivunja na kuvuka kuja Tanzania ijapokuwa laki kadhaa walikufa!!!!
Barabara ijengwe na pia barabara imekuwapo lakini ni ya vumbi, sasa tunataka ya lami!!! Mbona mbuga za wenzetu zina barabara ya lami na bado wanyama wapo na zinapokea watalii wengi hata kuliko Tanzania? Naamini miundo mbinu ikiwa nzuri tutakuwa na watalii wengi zaidi na fedha nyingi zaidi. People are always afraid of change but change is inevitable you either be part of it or you will be carried by change!!!
Baseless argument. Myopic people hata hawajaona ramani tayari wanakurupuka ohhh 7th wonder iko hatarini blah blah za kila siku. Anayetaka barabara isijengwe alipe gharama ya kuweka underground train kuunganisha usafiri wa uhakika kwenye miji/vijiji husika. Usipende tu … …. kila kitu kina gharama, kama Kenya wanaona kuna hasara walipie hiyo gharama.