kKwenye hili MAGAIDI wa UFIPA KAMWE HUWEZI KUWAONA.......wao ni kutaka kusikia MABAYA TU YA NCHI HII...
KWA TAARIFA YENU KWA MWENENDO HUU WA MAGUFULI....serious tutegee JAMAA KUTAWALA ZAIDI YA MIAKA KUMI kwa ridhaa ya sisi WANACHI TULIO WENGI.....
Maana bila unafiki MAGUFULI amekuwa akitembelea MANENO YAKE aliyo yahidi 2015 KWA KIASI KIKUBWA MNO.....ndio maana hata JF hauoni wakosoaji wapya wa serikali ya MAGUFULI zaidi ya sura zile zile ZILIZO KWENYE PROJECT MAAALUMU YA HAPO UFIPA kuchafua NCHI HII NA VIONGOZI WAKE na hata KuSHIRIKI KUFANYA MAOVU....