Tanzania is the 9th fast growing economy in the world

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318
DaLaQt3X0AApKIG.jpg:large
 
Halafu karibia zote ni LDC, ajabu kweli.
You are amazed because you dont know how these maths work:
Mfano una sh elfu kumi, ikaongezeka kwa asilimia moja ongezeko ni Tsh 100.
Mwenye elfu moja, ikaongezeka kwa asilimia kumi, ongezeko ni Tsh 100.

Nchi kama Marekani, japo uchumi wao unakua kwa asilimia moja, hilo ongezeko lake ni sawa sawa na uchumi wa Afrika nzima...
 
kKwenye hili MAGAIDI wa UFIPA KAMWE HUWEZI KUWAONA.......wao ni kutaka kusikia MABAYA TU YA NCHI HII...
KWA TAARIFA YENU KWA MWENENDO HUU WA MAGUFULI....serious tutegee JAMAA KUTAWALA ZAIDI YA MIAKA KUMI kwa ridhaa ya sisi WANACHI TULIO WENGI.....
Maana bila unafiki MAGUFULI amekuwa akitembelea MANENO YAKE aliyo yahidi 2015 KWA KIASI KIKUBWA MNO.....ndio maana hata JF hauoni wakosoaji wapya wa serikali ya MAGUFULI zaidi ya sura zile zile ZILIZO KWENYE PROJECT MAAALUMU YA HAPO UFIPA kuchafua NCHI HII NA VIONGOZI WAKE na hata KuSHIRIKI KUFANYA MAOVU....
 
Hizi habari njema sana,tutafika tu.hapo hapo shikilia raisi wangu tutafika hata kwa mijeledi.
 
Back
Top Bottom