Mleta mada hebu nielimishe, kama Yanga kapata pointi10 huko shirikisho kwa mwaka huu, je, Simba katengeneza point ngapi mwaka huu, huko kwenye Champions league? Tuelimishane tu... ScarsOKW BOBAN SUNZU
Nawaza, ingekuwa vipi levels alizonazo Mnyama currently, zingefikiwa na utopwinyo!!?
Wangeshiriki vikao vyote vya bunge, milo yote wangekula magogoni, hovyo kabisa hili litimu
Hakuna kitu kinaitwa top 18. Top ni 10 tuu au imezidi sana top 12. Halafu hizo kumi mbona hesabu ake haziji? Kwani tukizitoa hizo 10 bado tz itapeleka timu 4. Msituchoshe mwqnaume amelibeba taifa mabegani mwake.